RAIS DK.SAMIA NA DK.MWINYI KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM UCHAGUZI MKUU 2025

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Dharura cha Halmashauri Kuu...

DK. JAKAYA KIKWETE ATOA USHAURI WA KIBUNIFU WAGOMBEA URAIS CCM

Dodoma RAIS Mstaafu Dk.Jakaya Mrisho Kikwete ameonyesha hekima ya hali ya juu na uzoefu wake katika siasa kwa kutoa ushauri thabiti unaolenga kuimarisha umoja...

WASIRA MAKAMU MWENYEKITI CCM BARA

Dodoma MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amemtangaza, mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira...

RAIS DK.SAMIA AKEMEA MAKUNDI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Dodoma MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan,amekemea baadhi ya wanachama wa CCM wenye tabia ya kuendeleza makundi katika...

PROFESA LIPUMBA: WAJUMBE BARAZA KUU CUF KISHIRIKI MCHAKATO WA KUANDAA ILANI YA UCHAGUZI ...

Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amewaelekeza wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho kushiriki kikamilifu katika...