TUTAENDELEA KUDHIBITI UHALIFU WA KIFEDHA-MAJALIWA
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itaendelea kushiriki na kutimiza matakwa ya kimataifa katika kupambana na kudhibiti uhalifu wa kifedha.
Amesema...
HUDUMA JUMUISHI ZA KIFEDHA NI KIUNGO MUHIMU CHA UKUAJI UCHUMI – MAJALIWA
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa huduma jumuishi za kifedha ni kiungo muhimu cha ukuaji wa uchumi, kupunguza umasikini na kuchochea...
RAIS DK. MWINYI: UCHUMI WA ZANZIBAR UMEKUA KWA ASILIMIA 7
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Uchumi wa Zanzibar Umeendelea kukua kila Mwaka ambapo sasa umefikia...
BoT IMEFANIKIWA KUNUNUA DHAHABU ZAIDI YA TANI MBILI
Na Esther Mnyika, Mtwara
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema Mpango wa Ununuzi wa Dhahabu nchini haina nia ya kuvuruga soko la dhahabu nchini hivyo...
RIBA YA BENKI KUU KUENDELEA KUWA ASILIMIA 6
Dar es Salaam
KAMATI ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania ( BoT) imeamua kuendelea na Kiwango cha Riba ya Benki Kuu...
SERIKALI, SEKTA BINAFSI KUIMARISHA HUDUMA ZA FEDHA NCHINI
📌 Dk. Biteko afungua tawi la Exim Benki Kahama
📌 Exim yachangia vifaa vya matibabu vya shilingi milioni 25 Hospitali ya Wilaya Kahama
Shinyanga
UZINDUZI wa...
MSIGWA :BANDARI YA KWALA INAHUDUMIA KONTENA 300000 KWA MWAKA
Pwani
BANDARI Kavu ya Kwala inahudumia kontena 823 kwa siku na kwa mwaka 300000 zikiwemo zinazokwenda nchi jirani ikiwa ni sawa na asilimia 30...
BoT YATOA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI
Dar es Salaam
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) Machi 24,2025 imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari.
Taarifa hiyo, iliyochapishwa...
GAVANA TUTUBA: UCHUMI WA TANZANIA UNAENDELEA KUIMARIKA
Dar es Salaam
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amesema kuwa,hali ya uchumi wa Tanzania imeendelea kuimarika na kuwa himilivu.
Gavana Tutuba...