TCB KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUJENGA UCHUMI IMARA
Dar es Salaam
BENKI ya Biashara ya Tanzania ( TCB) imesema dhamira yake ni kushirikiana na Serikali katika kujenga uchumi imara na kuimarisha uchumi...
BoT YATOA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI
Dar es Salaam
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) Machi 24,2025 imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari.
Taarifa hiyo, iliyochapishwa...
GAVANA TUTUBA: UCHUMI WA TANZANIA UNAENDELEA KUIMARIKA
Dar es Salaam
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amesema kuwa,hali ya uchumi wa Tanzania imeendelea kuimarika na kuwa himilivu.
Gavana Tutuba...
MSIGWA :BANDARI YA KWALA INAHUDUMIA KONTENA 300000 KWA MWAKA
Pwani
BANDARI Kavu ya Kwala inahudumia kontena 823 kwa siku na kwa mwaka 300000 zikiwemo zinazokwenda nchi jirani ikiwa ni sawa na asilimia 30...
HUDUMA JUMUISHI ZA KIFEDHA NI KIUNGO MUHIMU CHA UKUAJI UCHUMI – MAJALIWA
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa huduma jumuishi za kifedha ni kiungo muhimu cha ukuaji wa uchumi, kupunguza umasikini na kuchochea...
BoT IMEFANIKIWA KUNUNUA DHAHABU ZAIDI YA TANI MBILI
Na Esther Mnyika, Mtwara
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema Mpango wa Ununuzi wa Dhahabu nchini haina nia ya kuvuruga soko la dhahabu nchini hivyo...
SERIKALI, SEKTA BINAFSI KUIMARISHA HUDUMA ZA FEDHA NCHINI
📌 Dk. Biteko afungua tawi la Exim Benki Kahama
📌 Exim yachangia vifaa vya matibabu vya shilingi milioni 25 Hospitali ya Wilaya Kahama
Shinyanga
UZINDUZI wa...
GAVANA TUTUBA : WAFANYABIASHARA NA WANANCHI WANAOPATA FURSA YA MIKOPO YA SERIKALI WAREJESHE KWA...
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba ametoa wito kwa Wafanyabiashara na wananchi nchini wanaopata...