BALOZI DK. NCHIMBI: CCM HAITAVUMILIA WANAOKIUKA KANUNI

Dodoma KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, ameonya vikali wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani, uwakilishi na ubunge kwa njia...

KWENYE URAIS TUMESHAMALIZA-MAJALIWA 

▪️Asisitiza Rais Dkt. Samia tunaye na tunaenda naye. ▪️Asema Rais Samia ni mgombea aliyejipambanua kwa uhodari na uimara wake kiutendaji ▪️Amtaja Dkt. Nchimbi kuwa kiongozi mchapakazi...

BALOZI NCHIMBI: CCM KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA NDANI NA NJE

Dar es Salaam CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti...

BUKOMBE YATEKELEZA ILANI YA CCM KWA KISHINDO

📌 Rais Samia aleta mapinduzi ya maendeleo Geita 📌 Rais Mstaafu Kikwete asema Watanzania wana deni kwa Rais Samia mwezi Oktoba 📌 Wanachama wa CCM waaswa...

RAIS DK. SAMIA : CCM NDIO CHAMA KIKUBWA LAKINI BADO HAWAPASWI KUBWETEKA

DODOMA  MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan amesema pamoja na kazi kubwa iliyofanywa...

WASSIRA ATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA MWL. JULIUS NYERERE BUTIAMA.

Makam Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari...

RAIS DK.SAMIA AMEING’ARISHA CHAMWINO KIMAENDELEO – DK. BITEKO

📌Serikali imewekeza zaidi ya bilioni 13 elimu ya Sekondari Chamwino 📌Uboreshaji wa miundombinu shilingi bilioni 17.9 zimetumika 📌Vijiji vyote 47 Chamwino vimewashwa umeme 📌Asema Sekta ya Nishati...

NCHIMBI: CCM NA PP KUIMARISHA UHUSIANO WA TANZANIA NA ETHIOPIA

Ethiopia KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha...

WASIRA: CHADEMA MSIJE NA AZIMIO LINALOKIUKA SHERIA ZA NCHI YETU.

Mara MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha...

𝗧𝗨𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗔𝗘 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗪𝗔𝗖𝗛𝗢𝗡𝗚𝗔𝗡𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗙𝗜𝗧𝗜𝗡𝗜𝗦𝗛𝗜 – 𝗖𝗣𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗟𝗟𝗔

Zanzibar WATANZANIA wametakiwa kuachana na viongozi fitna na wachonganishi kwani wanaleta chuki na uhasama hata pale mazuri yanapofanyika. Maneno hayo yametolewa Januari,28 2025 na katibu...