RUANGWA HATUNA DENI NA RAIS DK. SAMIA-MAJALIWA
Lindi
MBUNGE wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wakazi wa Wilaya ya Ruangwa hawana deni na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
MAKALLA AANZA ZIARA MKOA WA LINDI
•Akagua barabara na madaraja SOMANGA
•Atoa pole na kumshukuru Rais Samia kutoa fedha zaidi Bilioni 100 kujenga madaraja
•Ampongeza Waziri Abdallah Ulega na Tanroad kwa kuwahi...
WAZIRI MKUU ASISITIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI KWA WATANZANIA WOTE
*Awataka Wana-CCM kujiandaa na Uchaguzi Mkuu*Asema Wana-CCM wanaowajibu wa kueleza kwa watanzania utekelezaji wa Ilani
Rukwa
WAZIRI Mkuu amewasisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali kuweka...
BALOZI DK. NCHIMBI: CCM HAITAVUMILIA WANAOKIUKA KANUNI
Dodoma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, ameonya vikali wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani, uwakilishi na ubunge kwa njia...
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
*Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania
Dar es Salaam
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote...
WASIRA: UAMUZI WA MKUTANO MKUU UMEZINGATIA KATIBA YA CCM
Awapa darasa wanaodai sababu ya CCM kupitisha wagombea Urais
Asema yupo tayari kuwapa somo waifahamu vyema katiba ya Chama
Dar es Salaam
MAKAMU Mwenyekiti wa...
BALOZI NCHIMBI: CCM KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA NDANI NA NJE
Dar es Salaam
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti...
WASIRA ATOA SIKU 14 KWA KAMPUNI YA GDM KUWALIPA WAKULIMA WA KAHAWA RUNGWE
Rungwe
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa KAHAWA wa Wilaya ya Rungwe...
NLD YAPULIZA KIPYENGA NAFASI ZA WAGOMBEA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.
Na Boniface Gideon,HANDENI
CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za...
BUKOMBE YATEKELEZA ILANI YA CCM KWA KISHINDO
📌 Rais Samia aleta mapinduzi ya maendeleo Geita
📌 Rais Mstaafu Kikwete asema Watanzania wana deni kwa Rais Samia mwezi Oktoba
📌 Wanachama wa CCM waaswa...