WASSIRA ATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA MWL. JULIUS NYERERE BUTIAMA.
Makam Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari...
RAIS DK.SAMIA AMEING’ARISHA CHAMWINO KIMAENDELEO – DK. BITEKO
📌Serikali imewekeza zaidi ya bilioni 13 elimu ya Sekondari Chamwino
📌Uboreshaji wa miundombinu shilingi bilioni 17.9 zimetumika
📌Vijiji vyote 47 Chamwino vimewashwa umeme
📌Asema Sekta ya Nishati...
NLD YAPULIZA KIPYENGA NAFASI ZA WAGOMBEA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.
Na Boniface Gideon,HANDENI
CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za...
KWENYE URAIS TUMESHAMALIZA-MAJALIWA
▪️Asisitiza Rais Dkt. Samia tunaye na tunaenda naye. ▪️Asema Rais Samia ni mgombea aliyejipambanua kwa uhodari na uimara wake kiutendaji ▪️Amtaja Dkt. Nchimbi kuwa kiongozi mchapakazi...
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
*Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania
Dar es Salaam
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote...
NCHIMBI: CCM NA PP KUIMARISHA UHUSIANO WA TANZANIA NA ETHIOPIA
Ethiopia
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha...
WASIRA ATOA SIKU 14 KWA KAMPUNI YA GDM KUWALIPA WAKULIMA WA KAHAWA RUNGWE
Rungwe
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa KAHAWA wa Wilaya ya Rungwe...
WAZIRI MKUU ASISITIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI KWA WATANZANIA WOTE
*Awataka Wana-CCM kujiandaa na Uchaguzi Mkuu*Asema Wana-CCM wanaowajibu wa kueleza kwa watanzania utekelezaji wa Ilani
Rukwa
WAZIRI Mkuu amewasisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali kuweka...
RUANGWA HATUNA DENI NA RAIS DK. SAMIA-MAJALIWA
Lindi
MBUNGE wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wakazi wa Wilaya ya Ruangwa hawana deni na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
WASIRA: CHADEMA MSIJE NA AZIMIO LINALOKIUKA SHERIA ZA NCHI YETU.
Mara
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha...