BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA
Ruvuma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM...
BALOZI NCHIMBI : ATOA WITO UCHAGUZI MKUU 2025
Ruvuma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo...
WASIRA AMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU VIKAO VYA CHADEMA
Simiyu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na Chama cha Demokrasia...
WASIRA ATOA SIKU 14 KWA KAMPUNI YA GDM KUWALIPA WAKULIMA WA KAHAWA RUNGWE
Rungwe
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa KAHAWA wa Wilaya ya Rungwe...
RUANGWA HATUNA DENI NA RAIS DK. SAMIA-MAJALIWA
Lindi
MBUNGE wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wakazi wa Wilaya ya Ruangwa hawana deni na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
WASIRA- VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA VIENDESHWE KWA KUZINGATIA MAHITAJI
Pwani
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati...
NLD YAPULIZA KIPYENGA NAFASI ZA WAGOMBEA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.
Na Boniface Gideon,HANDENI
CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za...
JAJI WARIOBA: NAPONGEZA CCM KWA HATUA ZAKE DHIDI YA RUSHWA
Dar es Salaam
MAKAMU wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba, amepongeza hatua zilizoanza kuchukuliwa na Chama Cha...
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
*Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania
Dar es Salaam
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote...
BALOZI DK. NCHIMBI: CCM HAITAVUMILIA WANAOKIUKA KANUNI
Dodoma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, ameonya vikali wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani, uwakilishi na ubunge kwa njia...