RAIS DK.SAMIA AMKABIDHI KARIA MFANO WA HUNDI MILIONI 500.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia mfano wa...

LAKE VICTORIA FC YASHEREHEKEA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI KWA USHINDI MASHINDANO YA...

Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Lake Victoria imesherehekea miaka 60 ya jeshi la polisi kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya Kamnyonge kwenye...

MAJALIWA: MIUNDOMBINU YA MICHEZO KUENDELEA KUBORESHWA

Tabora WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutekeleza mpango wa kuboresha miundombinu ya michezo katika shule teule 56 nchini. Amesema hadi kufikia Machi 2024...

RAIS DK.MWINYI AWAKABIDHI SIMBA UBINGWA WA MUUNGANO

Na Mwandishi wetu,Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amewakabidhi timu ya Simba shilingi milioni 50 ambayo ni...

DK. NDUGULILE ATOA MAAGIZO KWA AFISA MICHEZO KIGAMBONI VIWANJA VYA MICHEZO VYOTE KUENDELEZWA

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MBUNGE wa Kigamboni Dk.Faustine Ndugulile amekipongeza Chama cha Mpira wa miguu Kigamboni (KDFA) kwa kuandaa mashindano mazuri ya veterans. Apongeza...

Dk.NDUMBARO AMKARIBISHA WAZIRI WA MICHEZO IVORY COAST KWENYE DERBY YA KARIAKOO KUMUONA PACOME

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast,...

WACHEZAJI BIASHARA UNITED KUMPA ZAWADI RC MTANDA YA KWENDA LIGI KUU

Na Shomari Binda, Musoma WACHEZAJI wa timu ya Biashara United wamesema zawadi pekee kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Said Mtanda ni kupanda...

WATUMISHI HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE MABINGWA BONANZA LA KUJENGA AFYA

Na Shomari Binda-Musoma WATUMISHI wa hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wameibuka washindi wa jumla wa bonanza la kujenga afya. Bonanza hilo limefanyika leo agosti 31...

DK. TULIA AWAJULIA HALI MAJERUHI MASHABIKI WA SIMBA

Na Mwandishi wetu, Chalinze RAIS wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson,...

JAMII YAKUMBUSHWA UMUHIMU WA KUSHIRIKI KUFANYA MAZOEZI KUEPUKA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA

Na Shomari Binda-Musoma JAMII imeshauriwa kufanya mazoezi ili kuweza kuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa club ya mazoezi ya Musoma...