BONANZA LA WIZARA YA NISHATI LAPAMBA MOTO DODOMA

Dodoma Leo 27 Julai 2024, Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake wameshiriki katika michezo mbalimbali katika Bonanza la Nishati...

DK. NDUGULILE ATOA MAAGIZO KWA AFISA MICHEZO KIGAMBONI VIWANJA VYA MICHEZO VYOTE KUENDELEZWA

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MBUNGE wa Kigamboni Dk.Faustine Ndugulile amekipongeza Chama cha Mpira wa miguu Kigamboni (KDFA) kwa kuandaa mashindano mazuri ya veterans. Apongeza...

MAJALIWA: SERIKALI ITAENDELEA KUIPA KIPAUMBELE SEKTA YA MICHEZO

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita imejipanga kikamilifu kuhakikisha kuwa sekta ya michezo inaendelea kuwezeshwa na kupewa...

KARIA NA MANARA WAKUTANA KWENYE IFTAR.

Na Mwandishi wetu MFANYABIASHARA na Mdhamini wa Club ya Yanga Ghalib Said Mohammed (GSM) ameonesha nia ya kuona Rais wa TFF Wallace Karia na...

TANZANIA NA IVORY COAST ZAINGIA RASMI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA MICHEZO

Na, Brown Jonas WUSM, Dar es Salaam. WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Michezo ya Ivory coast...

WAZIRI DK. GWAJIMA AZINDUA MATAWI YA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA TARIME KUHAMASISHA KUPAMBANA...

Mara WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima amezindua matawi ya mashabiki wa timu za Mpira wa miguu za...

MASHINDANO KNK CUP 2024 YAHITIMISHWA, MABINGWA WA BUKOMBE, KARAGWE KUCHUANA

📌 Mshindi wa Kwanza anyakua kitita cha milioni 5 📌 Simba, Yanga Wateka Vijana wenye Vipaji Geita MASHINDANO ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu...

FIFA YAIFUNGUIA YANGA KUFANYA USAJILI,TFF NAYO YASHINDILIA MSUMARI.

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital KLABU ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa...

KAMATI YA MAANDALIZI AFCON 2027 YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Dar es Salaam KAMATI ya Taifa ya maandalizi ya fainali za ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027 imekutana leo Agosti 22, 2024...