YANGA SC YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA MAMELODI SUNDOWNS, YATOKA SARE 0-0

Na Mwandishi wetu, @Lajiji Digital KLABU ya Yanga imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani mara baada ya kulazimishwa sare na Mamelodi Sundowns 0-0. Katika...

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI BONANZA LA PASAKA JIJINI DODOMA

Na Chedaiwe Msuya na Asia Singano, Dodoma WIZARA ya Fedha pamoja na Taasisi zake, Tanzania Bara na Ofisi ya Rais Fedha na Mipango zanzibar...

DK. TULIA AWAJULIA HALI MAJERUHI MASHABIKI WA SIMBA

Na Mwandishi wetu, Chalinze RAIS wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson,...

TAIFA STARS YANG’ARA KIMATAIFA YASHINDA 3-0.

Na Mwandishi wetu HATIMAE ya Taifa ya Tanzania imepeta kimataifa kwa kupata ushindi wa 3-0 Mongolia (Kelvin 49’ Sopu 63’ Novatus 76’) kwenye mchezo...

KARIA NA MANARA WAKUTANA KWENYE IFTAR.

Na Mwandishi wetu MFANYABIASHARA na Mdhamini wa Club ya Yanga Ghalib Said Mohammed (GSM) ameonesha nia ya kuona Rais wa TFF Wallace Karia na...

TANZANIA KUANZA MATUMIZI YA VAR KATIKA LIGI KUU BARA.

Na Mwandishi wetu RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema vifaa vya kiteknolojia kwa ajili ya kuwasaidia waamuzi yani "Video...

SIMBA SC YAWATUNGUA MBILI BILA MASHUJAA.

Na Mwandishi wetu SIMBA Sc imefanikiwa kuzitwaa point tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu kati yao na Timu ya Mashujaa toka kigoma mzunguko wa...

SIMBA INAKIBARUA KIZITO KISAKA POINT TATU DHIDI YA MASHUJAA LEO.

Na Mwandishi wetu SIMBA leo ina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mashujaa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam...

Rais Dk.Samia aipongeza simba

Hongereni sana Klabu ya Simba kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mafanikio yenu si tu furaha na fahari...

Rais Dk.Samia aipongeza yanga kufuzu robo fainali

Naipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vyema katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), na kufanikiwa kufuzu...