Rais Dk.Samia aipongeza simba

Hongereni sana Klabu ya Simba kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mafanikio yenu si tu furaha na fahari...

UFUNGUZI WA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Tabora ambapo atafungua mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA)...

MAJALIWA: MIUNDOMBINU YA MICHEZO KUENDELEA KUBORESHWA

Tabora WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutekeleza mpango wa kuboresha miundombinu ya michezo katika shule teule 56 nchini. Amesema hadi kufikia Machi 2024...

BASHUNGWA CUP 2024 KUANZA KURINDIMA MWEZI JULAI

Na Mathias Canal, Karagwe-Kagera MASHINDANO ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la "BASHUNGWA CUP 2024" yataanza kurindima mwanzoni mwa mwezi Julai 2024 katika Wilaya ya...

RAIS DK.MWINYI AWAKABIDHI SIMBA UBINGWA WA MUUNGANO

Na Mwandishi wetu,Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amewakabidhi timu ya Simba shilingi milioni 50 ambayo ni...

DK. NDUMBARO AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMUSTA.

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Maafisa Utamaduni...

DK. TULIA AWAJULIA HALI MAJERUHI MASHABIKI WA SIMBA

Na Mwandishi wetu, Chalinze RAIS wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson,...

MICHEZO NI AFYA, NI FURSA YA AJIRA – MAJALIWA

Na Mwandishi wetu, Mbeya WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani, ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa...

WAZIRI MKUU AZINDUA KAMATI YA KITAIFA AFCON 2027

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu,Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027)...

MAJALIWA MICHEZO NI NYENZO MUHIMU INAYODUMISHA AMANI

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema ushirikiano katika michezo ni nyenzo muhimu katika kudumisha diplomasia na amani miongoni mwa nchi washirika...