SIMBA INAKIBARUA KIZITO KISAKA POINT TATU DHIDI YA MASHUJAA LEO.

Na Mwandishi wetu SIMBA leo ina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mashujaa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam...

Dk.NDUMBARO AMKARIBISHA WAZIRI WA MICHEZO IVORY COAST KWENYE DERBY YA KARIAKOO KUMUONA PACOME

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast,...

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI BONANZA LA PASAKA JIJINI DODOMA

Na Chedaiwe Msuya na Asia Singano, Dodoma WIZARA ya Fedha pamoja na Taasisi zake, Tanzania Bara na Ofisi ya Rais Fedha na Mipango zanzibar...

TUZO ZA WANAMICHEZO KUTOLEWA JUNI 09/2024 WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TUKIO HILO MUHIMU.

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital TUZO za Wanamichezo bora zinatarajiwa kutolewa June 9 Mwaka huu Jijini Dar es salaam katika Ukumbi maarufu wa The Super...

WAZIRI MKUU AZINDUA MITAMBO YA KISASA YA KURUSHIA MATANGAZO

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 15, 2024 amekagua na kuzindua mitambo na vifaa vipya vya kurushia matangazo vya kampuni ya...

RAIS DK.SAMIA AMKABIDHI KARIA MFANO WA HUNDI MILIONI 500.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia mfano wa...

JAMII YAKUMBUSHWA UMUHIMU WA KUSHIRIKI KUFANYA MAZOEZI KUEPUKA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA

Na Shomari Binda-Musoma JAMII imeshauriwa kufanya mazoezi ili kuweza kuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa club ya mazoezi ya Musoma...

Rais Dk.Samia aipongeza simba

Hongereni sana Klabu ya Simba kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mafanikio yenu si tu furaha na fahari...

UFUNGUZI WA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Tabora ambapo atafungua mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA)...

MAJALIWA: MIUNDOMBINU YA MICHEZO KUENDELEA KUBORESHWA

Tabora WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutekeleza mpango wa kuboresha miundombinu ya michezo katika shule teule 56 nchini. Amesema hadi kufikia Machi 2024...