YANGA TAWI LA MUSOMA WACHANGIA DAMU NA KUTOA MSAADA HOSPITAL MANSPAA YA MUSOMA

Na Shomari Binda, Musoma WANACHAMA na mashabiki wa timu ya Yanga kwa kushirikiana na benki ya NBC tawi la Musoma wamechangia damu na kutoa msaada...

JAMII YAKUMBUSHWA UMUHIMU WA KUSHIRIKI KUFANYA MAZOEZI KUEPUKA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA

Na Shomari Binda-Musoma JAMII imeshauriwa kufanya mazoezi ili kuweza kuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa club ya mazoezi ya Musoma...

UFUNGUZI WA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Tabora ambapo atafungua mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA)...

RAIS DK.MWINYI AWAKABIDHI SIMBA UBINGWA WA MUUNGANO

Na Mwandishi wetu,Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amewakabidhi timu ya Simba shilingi milioni 50 ambayo ni...

Dk.NDUMBARO AMKARIBISHA WAZIRI WA MICHEZO IVORY COAST KWENYE DERBY YA KARIAKOO KUMUONA PACOME

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast,...

MAJALIWA: MIUNDOMBINU YA MICHEZO KUENDELEA KUBORESHWA

Tabora WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutekeleza mpango wa kuboresha miundombinu ya michezo katika shule teule 56 nchini. Amesema hadi kufikia Machi 2024...

BASHUNGWA CUP 2024 KUANZA KURINDIMA MWEZI JULAI

Na Mathias Canal, Karagwe-Kagera MASHINDANO ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la "BASHUNGWA CUP 2024" yataanza kurindima mwanzoni mwa mwezi Julai 2024 katika Wilaya ya...

MBUNGE MATHAYO AKABIDHI NG’OMBE,MIPIRA NA FEDHA MASHINDANO POLISI JAMII CUP MUSOMA

Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo leo agosti 15 amekabidhi ng'ombe, mipira 16 na fedha kiasi cha shilingi laki 2 kwaajili ya...

FIFA YAIFUNGUIA YANGA KUFANYA USAJILI,TFF NAYO YASHINDILIA MSUMARI.

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital KLABU ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa...

MUHIMBILI YAJIDHATITI KWA UCHUNGUZI NA MATIBABU AFCON

Dar es Salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila) imejiandaa kikamilifu katika kutoa huduma za uchunguzi na matibabu kwa wachezaji watakaoshiriki mashindano ya...