MICHUANO YA SHIMIWI KUFANYIKA SEPTEMBA 2024

Dodoma MAANDALIZI ya michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) yameanza ambapo Kamati ya Utendaji imependekeza michuano hiyo kufanyika...

WAFANYAKAZI WA TANESCO PWANI WAFANYA BONANZA LA MICHEZO LA KUPONGEZANA KWA KAZI

Pwani WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Pwani wamefanya bonanza la michezo mbalimbali ikiwa ni kwa lengo la kupongezana kwa kazi,...

QWIHAYA MGENI RASMI FAINALI YA RAMADHANI CUP 2024.

Na Mwandishi wetu, Mwanza MJUMBE wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) wa CCM, Leonard Qwihaya alikuwa Mgeni Rasmi katika Fainali ya Ramadhani cup...

LAKE VICTORIA FC YASHEREHEKEA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI KWA USHINDI MASHINDANO YA...

Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Lake Victoria imesherehekea miaka 60 ya jeshi la polisi kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya Kamnyonge kwenye...

TANZANIA KUANZA MATUMIZI YA VAR KATIKA LIGI KUU BARA.

Na Mwandishi wetu RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema vifaa vya kiteknolojia kwa ajili ya kuwasaidia waamuzi yani "Video...

HAKIMI ATOA MISAADA YA ZAIDI YA BILIONI MOJA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

Na John Mapepele MCHEZAJI wa kimataifa wa soka kutoka Morocco anayechezea timu ya PSG, Archraf Hakimi leo ametoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa wanafunzi zaidi...

Rais Dk.Samia aipongeza yanga kufuzu robo fainali

Naipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vyema katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), na kufanikiwa kufuzu...

SIMBA SC YAWATUNGUA MBILI BILA MASHUJAA.

Na Mwandishi wetu SIMBA Sc imefanikiwa kuzitwaa point tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu kati yao na Timu ya Mashujaa toka kigoma mzunguko wa...

TAIFA STARS YANG’ARA KIMATAIFA YASHINDA 3-0.

Na Mwandishi wetu HATIMAE ya Taifa ya Tanzania imepeta kimataifa kwa kupata ushindi wa 3-0 Mongolia (Kelvin 49’ Sopu 63’ Novatus 76’) kwenye mchezo...

WACHEZAJI BIASHARA UNITED KUMPA ZAWADI RC MTANDA YA KWENDA LIGI KUU

Na Shomari Binda, Musoma WACHEZAJI wa timu ya Biashara United wamesema zawadi pekee kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Said Mtanda ni kupanda...