WAZIRI DK. GWAJIMA AZINDUA MATAWI YA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA TARIME KUHAMASISHA KUPAMBANA...

Mara WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima amezindua matawi ya mashabiki wa timu za Mpira wa miguu za...

WAFANYAKAZI WA TANESCO PWANI WAFANYA BONANZA LA MICHEZO LA KUPONGEZANA KWA KAZI

Pwani WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Pwani wamefanya bonanza la michezo mbalimbali ikiwa ni kwa lengo la kupongezana kwa kazi,...

WATUMISHI HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE MABINGWA BONANZA LA KUJENGA AFYA

Na Shomari Binda-Musoma WATUMISHI wa hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wameibuka washindi wa jumla wa bonanza la kujenga afya. Bonanza hilo limefanyika leo agosti 31...

KAMATI YA MAANDALIZI AFCON 2027 YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Dar es Salaam KAMATI ya Taifa ya maandalizi ya fainali za ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027 imekutana leo Agosti 22, 2024...

MBUNGE MATHAYO AKABIDHI NG’OMBE,MIPIRA NA FEDHA MASHINDANO POLISI JAMII CUP MUSOMA

Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo leo agosti 15 amekabidhi ng'ombe, mipira 16 na fedha kiasi cha shilingi laki 2 kwaajili ya...

YANGA TAWI LA MUSOMA WACHANGIA DAMU NA KUTOA MSAADA HOSPITAL MANSPAA YA MUSOMA

Na Shomari Binda, Musoma WANACHAMA na mashabiki wa timu ya Yanga kwa kushirikiana na benki ya NBC tawi la Musoma wamechangia damu na kutoa msaada...

BONANZA LA WIZARA YA NISHATI LAPAMBA MOTO DODOMA

Dodoma Leo 27 Julai 2024, Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake wameshiriki katika michezo mbalimbali katika Bonanza la Nishati...

WAZIRI MKUU AZINDUA MITAMBO YA KISASA YA KURUSHIA MATANGAZO

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 15, 2024 amekagua na kuzindua mitambo na vifaa vipya vya kurushia matangazo vya kampuni ya...

SHINDANO LA “VODACOM LUGALO OPEN 2024” LAANZA VYEMA

Dar es Salaam SHINDANO la Wazi la Mchezo wa Gofu "Vodacom Lugalo Open 2024"limeanza rasmi leo kwa Wachezaji wa Ridhaa na wa Kulipwa katika...

WAZIRI MKUU AZINDUA KAMATI YA KITAIFA AFCON 2027

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu,Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027)...