WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATUMISHI GST KUCHAPA KAZI
GST kujenga Maabara ya Kisasa jijini Dodoma
GST ni Moyo wa Sekta ya Madini
Kufanya Utafiti wa kina kufikia asilimia 50
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI wa Madini,...
”KILA LA HERI, KAZI NJEMA”
Na Mwandishi wetu, Ruvuma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akipunga mkono kuwaaga mamia ya wananchi, walioongozwa...
JNHPP KUKAMILIKA DESEMBA
Na Mwandishi wetu,Dodoma
SERIKALI imesema imeanza uzalishaji wa umeme kupitia mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa...
RAIS DK.SAMIA AWATUNUKU NISHANI VIONGOZI MBALIMBALI WAKATI SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 60 YA MUUNGANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya Kuwatunuku Nishani Viongozi...
*TAKUKURU PWANI YAONGEZA MAPATO MACHINJIO MTAKUJA YA KIBAHA MKOANI PWANI
Na Mwandishi wetu, Pwani
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani imefanya uchambuzi wa mfumo wa ukusanyaji wa...
SERIKALI KUIMARISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌 Majiko banifu kusambazwa Kaya za Vijiji na Vijiji-Miji
📌 Wazalishaji wa mkaa mbadala kupewa ruzuku
Na Mwandishi wetu, Dodoma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri...
TARURA RUKWA YABORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Na Mwandishi wetu, Rukwa
WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kwa kujenga barabara, vivuko na madaraja...
RC CHALAMILA DAR IKO SALAMA
-Awatoa hofu wananchi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo April 23, 2024...
BAJETI YA MATENGENEZO MIUNDOMBINU YA UMEME KUENDELEA KUONGEZWA KILA MWAKA- KAPINGA
📌 Shilingi Bilioni 109.8 zatumika mwaka 2023/2024
Na Mwandishi wetu, Dodoma
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la...
HAKIELIMU IMETOA RAI KWA SERIKALI KUTENGA BAJETI YA KUTOSHA 2024/25 KATIKA SEKTA YA ELIMU
Na Sophia Kingimali.
TAASISI ya Hakielimu nchini imetoa rai kwa serikali kutenga bajeti ya kutosha 2024/2025 katika sekta ya elimu ili kuwezesha kushabihisha bajeti hiyo...