TBS YATOA WITO KUPIMA UBORA NA USALAMA WA MAJI YA KISIMA KWA MATUMIZI YA...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewashauri wenye visima vya maji kuhakikisha maji yanapimwa ili kukidhi ubora na kulinda usalama wa...

MAJI YASIMAMISHA MWENGE WA UHURU ULANGA

Na Mwandishi wetu, Ulanga MWENGE wa Uhuru Kitaifa 2024 uliokuwa tayari umewasili Wilayani Ulanga mkoani Morogoro Aprili 24 kwaajili ya kukagua,kuzindua na kuweka mawe...

MJADALA BAJETI WIZARA YA NISHATI UNAENDELEA BUNGENI ASUBUHI HII

MJADALA wa Bajeti ya Wizara ya Nishati unaendelea asubuhi hii bungeni Jijini Dodoma katika Mkutano wa Kumi na Tano Kikao cha Kumi na Nne Mjadala...

UNICEF WAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI NA WALIMU KWA SHULE ZILIZOATHIRIKA...

Na Scolastica Msewa, Rufiji SHIRIKA la Kimataifa la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) limetoa msaada wa vifaa vya Shule za msingi na sekondari zilizoathirika na...

DK.NATU AWAPOGEZA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA FEDHA NA TAASISI ZAKE

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha Dk. Natu Mwamba amewapongeza wafanyakazi wa wizara hiyo na Taasisi zake kwa kujisimamia vyema katika...

CHAMWALI AMEISHAURI SERIKALI KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU UWEKEZAJI

Na Sophia Kingimali@Lajiji Digital MHADHIRI wa Chuo Kikuu Mzumbe, Lihoya Chamwali ameishauri serikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu maswala ya uwekezaji kwani elimu hiyo...

PROFESA MKENDA AMETOA RAI KWA WALIMU WA KUU NCHINI KUPOKEA WANAFUNZI WANAOTOKA KWENYE...

Na Sophia Kingimali@lajiji Digital WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ametoa rai kwa walimu wakuu nchini kupokea watoto wanaopelekwa kwenye shule...

WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Stergomena Lawrence Tax, Aprili 22, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo...

PROFESA IKINGURA AONGOZA KIKAO CHA 18 BODI YA GST

Na Mwandishi wetu, Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia ya Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Profesa Justinian Ikingura amekiongoza Kikao cha...

TAWA YAPOKEA MELI YA WATALII ZAIDI YA 200 KILWA KISIWANI

Na Beatus Maganja Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA ) leo Aprili 24, 2024 imepokea meli ya watalii wapatao 230 kutoka Mataifa mbalimbali Duniani...