RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS WA COMORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Comoro, Azali Assoumani Ikulu Jijini Dar es Salaam...

NAIBU WAZIRI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiagana na viongozi mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka...

RAIS DK.SAMIA ILI MUUNGANO UENDELEE KUDUMU WATANZANIA WATEKELEZE FALSAFA YA MARIDHIANO

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amesema ili muungano uendelee kudumu Watanzania hawana budi kuitekeleza falsafa ya maridhiano, kuvumiliana, mageuzi na kujenga...

GWARIDE LA HESHIMA LA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Gwaride la Heshima la Miaka 60 ya Muungano lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...

RAIS DK.SAMIA AKIWAPUNGIA MKONO WANANCHI BAADA YA KUWASILI UWANJA WA UHURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa...

TET YAKABIDHI VITABU VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 7 WILAYA YA KIBITI

Na Mwandishi wetu, Kibiti TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imekabidhi vitabu vya kusomea 422 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 7 kwaajili ya...

TAKUKURU MARA YAWATAHADHARISHA WATAKAOENDELEA NA VITENDO VYA RUSHWA

Na Shomari Binda, Musoma TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mara imesema itaendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kujihusisha na vitendo...

TANZANIA NA CZECH MBIONI KUONDOA UTOZAJI WA KODI MARA MBILI

Na Saidina Msangi, WF, Dar es Salaam SERIKALI ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimekamilisha majadiliano ya Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi Mara...

WANAWAKE WANA MCHANGO MKUBWA KATIKA MUUNGANO WETU DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Wanawake...

RAIS DK.SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili, 25...