DK. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Profesa Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu...

DK.MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA RAIS WA SOMALI

Na Mwandishi wetu,Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutokana na kifo cha...

KAMATI YA UONGOZI WA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA JULIUS NYERERE (JNHPP) WATEMBELEA MRADI...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Julius Nyerere uliyochini ya Mwenyekiti Mhandisi Cyprian Luhemeja ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi...

USHIRIKIANO WA KIMKAKATI

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameainisha maeneo manne ya kimkakati Tanzania itakayoshirikiana na nchi ya Somalia ikiwemo katika masuala ya...

WAMI RUVU HAWANA DENI LA RAIS SAMIA KATIKA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI.

Na Mwandishi wetu,Morogoro BODI ya Maji Bonde la Wami Ruvu limeendelea kuchukua hatua stahiki katika kuhakikisha inatekeleza agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri...

WAZIRI JAFFO AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi wetu, Arusha WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Dk.Selemeni Jafo amesema takwimu zinaonesha watu milioni nne barani Afrika...

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA SAUDIA ARABIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Saudia Arabia nchini Tanzania, Mhe.Yahya bin Ahmed Okeish...

SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SHULE BINAFSI- DKT. BITEKO

📌Azitaka Wizara za Elimu, Fedha, Uwekezaji, Ardhi na TAMISEMI kukutana na Wadau wa Elimu 📌Shule Binafsi zizingatie maadili ya Mtanzania na Miongozo Iliyowekwa Na Mwandishi wetu@Lajiji...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS DK. MOHAMUD

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Shirikisho...

TANROADS YAENDELEA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA GONGOLAMBOTO JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) imehakikisha utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka barabara ya Nyerere hadi Gongo la mboto...