MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NAIROBI-KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Kenya pamoja na...

BENOITE AMEWAOMBA WAANDISHI WA HABARI NA WAHARIRI KUENDELEA KUHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI

Na Esther Mnyika, @Lajiji Digital MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Oryx Tanzania, Benoite Araman amewaomba waandishi habari na wahariri kuendelea kutoa elimu...

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIRADI YA UMWAGILIAJI YA SH. 258 BILIONI

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameshuhudia utiaji saini mikataba 20 ya miradi ya umwagiliaji yenye thamani ya sh. bilioni 258.11 ambayo...

ILINDENI TAALUMA YENU KWA WIVU MKUBWA – DK. BITEKO

📌Amevitaka vyombo vya habari kulinda maadili ya Mtanzania 📌Serikali kufanyiakazi madeni ya vyombo vya habari 📌Vyombo vya habari visaidie Serikali kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya...

UTEKELEZAJI SERA YA JINSIA NA MAENDELEO YA WANAWAKE, WAJASIRIAMALI 675 WAWEZESHWA MASHINE

Na Mwandishi wetu, Dar Es Salaam WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk. Dorothy Gwajima amepokea msaada wa Vyerehani 425...

UTOAJI WA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UMEFANIKIWA KWA ASILIMIA 95

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital UTOAJI wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi inayotolewa bure kwa wasichana kuanzia miaka 9 hadi 14 kwa dozi...

RAIS DK.SAMIA KWENYE MKUTANO WA IDA NAIROBI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mawaziri wa Kenya Musalia Mudavadi mara baada ya kuwasili katika...

MIRADI YA KIMKAKATI ITUMIKE KUKUZA UCHUMI WA NDANI DK. BITEKO

📌Awataka Watanzania kuwa waaminifu 📌Asisitiza ushiriki wa makampuni ya Kitanzania kuongezeka 📌Apongeza Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kukuza ushiriki wa Watanzania kwenye shughuli za...

TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono...

RAIS DK.SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege...