REA YAJIPANGA KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI 31,532 VILIVYOSALIA

Na. Mwandishi Wetu,Dodoma WAKALA wa Nishati Vijijini (REA); unategemea kusambaza huduma ya umeme kwenye vitongoji 31,532 vilivyobaki nchini ili kuharakisha upatikanaji wa huduma za...

WAFANYAKAZI NISHATI KATIKA KILELE CHA MEI MOSI DODOMA

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAFANYAKAZI wa Wizara ya Nishati wameshiriki maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei, 2024. Maandamano hayo yalianzia...

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI KIKAMILIFU SHEREHE ZA MEI MOSI DODOMA

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Madeni Wizara ya Fedha, Omary Khama (wa pili kushoto mstari wa pili) na Kamishna wa Kitengo...

MAJALIWA SIKU YA MEI MOSI WAFANYAKAZI KUTAFAKARI NA KUTATHIMINI MALENGO WALIOJIWEKEA

Na Mwandishi wetu, Arusha WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) ambayo huadhimishwa kila mwaka ni siku maalum kwa ajili...

KICHEKO KWA WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani GST yatoa Mshindi Na Mwandishi wetu, Arusha WATUMISHI wa Umma na Sekta Binafsi Duniani kote wameungana kwa pamoja kusheherekea...

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA WATEMBELEA MAKUYUNI WILDLIFE PARK

Na Mwandishi wetu, Arusha CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) leo April 30, 2024 wametembelea Makuyuni Wildlife Park iliyopo wilaya ya...

FCT TOENI MAAMUZI KWA HAKI

Na Esther Mnyika, @ Lajiji Digital KATIBU Tawala wa Mkoa wa Mkoa Dar es Salaam Dk. Toba Nguvila ameliagiza Baraza la Ushindani (FCT) kutoa...

NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MEI MOSI-MAJALIWA

Na Mwandishi wetu, Arusha WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi ya maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo yatafanyika kitaifa...

WAKAZI 6,453 KUNUFAIKA NA CHANZO CHA MTO MNGAZI

Na Mwandishi wetu, Morogoro WAKAZI 6,453 wa vijiji vya Mngazi na Dakawa katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wanatarajia kunufaika na mradi...