BALOZI DK. NCHIMBI KAZI KUBWA ZA SAMIA ZINAIPA CCM UJASIRI

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, amesema kazi kubwa inayofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu...

DK. MPANGO AKABIDHIWA KITABU CHA SAFARI YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa...

WIZARA YA KILIMO YAHITIMISHA BAJETI YAKE KWA KISHINDO MEI 03, 2023

Na Mwandishi wetu, Dodoma WIZARA ya Kilimo imehitimisha bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Bungeni jijini Dodoma kwa kishindo kikubwa. Bajeti hiyo ya...

DK. BITEKO APONGEZA MCHANGO WA KANISA KWENYE MAENDELEO YA TAIFA

πŸ“Œ Awahimiza Wachungaji kuwa na Maono Makubwa πŸ“ŒAwataka kuhubiri amani na upendo πŸ“Œ Awahimiza kumtia moyo Rais Samia kutekeleza miradi ya maendeleo Na Mwandishi wetu, Dodoma...

MAJALIWA AKUTANA MWANA WA MFALME, ZAHRA AGA KHAN

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 3, 2024 amekutana na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Taasisi ya Huduma za Aga Khan, Mwana wa Mfalme,...

ZINGATIENI TAARIFA ZA TMA – WAZIRI JENISTA MHAGAMA

Na Mwandishi wetu, Dodoma WANANCHI wametakiwa kuchukua tahadhari kubwa na kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa za utabiri na tahadhari kutoka Mamlaka ya Hali ya...

MAJALIWA WATENDAJI WA SERIKALI ONDOENI UKIRITIMBA UTOAJI WA HABARI

Na Mwandishi wetu,Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wa Serikali waondoe ukiritimba kwenye suala la upatikanaji wa habari ili kuwawezesha wanahabari...

SERIKALI YATOA NENO KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO YA KIDIGITALI PAMOJA NA MIKOPO YENYE RIBA...

Na. Joseph Mahumi, Dodoma. SERIKALI imesema inafuatilia kwa karibu mwenendo wa utoaji wa mikopo kwa njia ya kidigitali iliyoidhinishwa na kwamba itakapobainika kuwa kuna ukiukwaji...

MA-RC TENGENI MAENEO YA MAZOEZI – MAJALIWA

*Aeleza mkakati wa Serikali wa kutumia maji ya mvua Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa yote nchini waanze...

KIKAO CHA PAMOJA CHA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KATIKA MAMBO YA ULINZI,...

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) Aprili 30, 2024 jijini Dar-es-Salaam aliongoza ujumbe wa Tanzania katika...