RAIS SAMIA AAGIZA HUDUMA ZA DHARURA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA KIMBUNGA HIDAYA

Na Mwandishi wetu, Dodoma RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya. Hayo yamesemwa leo...

BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR – LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA...

Na Mwandishi wetu, Lindi WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia...

MHANDISI KASHINDE; WAFANYAKAZI MIZANI JIEPUSHENI NA RUSHWA 

Na Mwandishi wetu,  Mwanza  MKURUGENZI  wa Usalama na Mazingira Wizara ya Ujenzi Mhandisi Kashinde Musa amewaasa wafanyakazi wa mizani kujiepusha na vitendo vya rushwa ili...

WAZIRI MKUU: WAKUU WA MIKOA SIMAMIENI UTASHI WA RAIS SAMIA

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa...

RC CHONGOLO AIPA HEKO TANROADS//BIL 5.7 ZATOLEWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MIUNDOMBINU MKOANI SONGWE

Na Mwandishi wetu, Songwe MKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kufanya kazi kwa...

MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR – LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72 BASHUNGWA

Na Mwandishi wetu, Lindi WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku...

CHADEMA WAMESHIRIKI KIKAMILIFU MCHAKATO WA KUTUNGA SHERIA MPYA YA UCHAGUZI

Na Mwandishi wetu, Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesema CHADEMA wameshirikishwa a kushiriki kikamilifu katika mchakato...

KIDATO CHA SITA WANATARAJIA KUANZA MTIHANI MEI, 6

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital JUMLA ya watahiniwa 113,504 wamesajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita, kati yao watahiniwa wa shule ni 104,449 na wakujitegemea...

TANESCO IMENDESHA MJADALA KWA WANAFUNZI WA UDSM KWA KUWAJENGEA UELEWA WA MATUMIZI YA...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO )Mkoa wa Kinondoni Kaskazini imeendesha mjadala na wasomi wa chuo kikuu wanaosomea fani ya uhandisi...