DCEA YAKAMATA KILOGRAMU 1,815 ZA SKANKA

Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika...

WANAFUNZI 62,214 KUFANYA MTIHANI WA DARASA LA 7 MKOA WA MARA KESHO

Na Shomari Binda-Musoma JUMLA ya Watahiniwa 62,214 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wa utakaoanza kesho septemba, 11 2024. Akizungumza na leo Septemba,10...

PPAA YASHIRIKI KONGAMANO LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA AFRIKA MASHARIKI

Arusha MAMLAKA ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano...

ELIMU YA FEDHA YAWAFIKIA WANANCHI WA MKURANGA

Na. Saidina Msangi, Mkuranga Pwani. TIMU ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha, imewasili katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa...

DHAMIRA YA RAIS SAMIA NI KUONA WANANCHI WANANUFAIKA NA MIRADI KATIKA MAENEO YAO- KAPINGA

📌 TPDC yatekeleza maagizo ya Dk.Biteko Msimbati 📌 Wananchi kuanza kunufaika na uwepo wa kituo cha Afya na Polisi 📌 Kapinga asisitiza ushiriki katika Uchaguzi wa...

DK. BITEKO ASISITIZA MAADILI, WELEDI NA UWAJIBIKAJI KATIKA UNUNUZI WA UMMA

📌 Asema Serikali Imefanya Mageuzi Makubwa katika Sekta ya Ununuzi 📌 Asema Rais Samia Aiagiza Wizara ya Fedha Kuhakikisha Shughuli za Ununuzi na Ugavi Zinazingatia...

BUMIJA ASHINDA MWENYEKITI CHADEMA MKOANI PWANI

Pwani CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)mkoani Pwani kimemchagua Bumija Moses kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Uchaguzi huo umefanyika Septemba,...

TUOKOE MAISHA YA WATANZANIA KWA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA – DKT BITEKO

📌 Azindua kampeni ya Pika Kijanja inayolenga kuhamisha Nishati Safi ya Kupikia 📌 Aagiza Wizara ya Nishati kushirikiana na wadau Kampeni ya Nishati Safi 📌 Awaasa...

FURAHIKA WAJIVUNIA MAFANIKIO ASILIMIA 75 YA WAHITIMU WAKE WAPATA AJIRA.

Na Sophia Kingimali. CHUO cha Ufundi Stadi Furahika(VETA) wanatoa rai kwa wazazi kuwapeleka watoto wao kupata elimu katika chuo hicho kwani asilimia 75 ya wahitimu...