CCM IMEAMUA KUTOA ELIMU KUHUSU MASUALA YALIYOPO MAHAKAMANI – MAKALLA

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla amesema kuwa viongozi wengi wa chama wamekuwa...

SERIKALI YAUNDA KAMATI YA UCHAMBUZI VIWANGO VYA PENSHENI

Peter Haule, Dodoma SERIKALI imesema kuwa imeunda kamati ya kukusanya na kuchambua maoni na mapendekezo ya viwango vya nyongeza ya pensheni ili kuwezesha maandalizi ya...

MAHIMBALI APOKEA TAARIFA MAANDALIZI WIKI YA MADINI KUTOKA FEMATA

Maonesho na Kongamano la Wachimbaji Madini kufanyika Dodoma Juni 2024 Na Mwandishi wetu, Dodoma KATIBU Mkuu Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali amekutana na kuzungumza...

UHAMIAJI TANGA YATOA ONYO KALI KWA MADALALI WA WAHAMIAJI HARAMU.

Na Boniface Gideon,TANGA JESHI la Uhamiaji Mkoa wa Tanga limewaonya mawakala hasa watanzania wanaoji husisha na mtandao wa kuwaingiza wahamiaji haramu mkoani humo kuacha mara...

UBALOZI WA USWISI WASHIRIKIANA NA SHIRIKA LA AMEND TANZANIA KUTOA MAFUNZO KWA MADEREVA BODABODA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MADEREVA bodaboda 145 katika Jiji la Dodoma- wamepatiwa mafunzo ya usalama barabarani awamu ya pili yalioanza Aprili 15 na kukamilika Mei 4...

WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO WAKAZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma....

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA WAPCOS YA INDIA

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na RK Agrawal Mkurugenzi Mtendaji wa...

USAHIHI WA UTABIRI WA TMA WAFIKIA ASILIMIA 86 WMO YAIMINI YAIPA MAJUKUMU MAZITO

Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea na utoaji wa huduma, kudhibiti na kuratibu shughuli za hali ya...

MWENGE WA UHURU 2024 WASHINDWA KUFIKA KWENYE MIRADI MIWILI RUFIJI, MAJI YAFUNIKA BARABARA

Na Mwandishi wetu, Rufiji MWENGE wa Uhuru 2024 umelazimika kupokea taarifa ya miradi miwili ya maendeleo iliyopo Utete makao makuu ya wilaya ya Rufiji katika...

WAUZA MLIMA SHILINGI MILLIONI 20

Na Mwandishi Wetu, Kilosa JESHI la Polisi wilayani kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko) mwenzake, Awadh...