TAWA YAPONGEZWA KWA JITIHADA ZA KUDHIBITI WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU UKEREWE

Na Mwandishi wetu, Ukerewe MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Joshua Bituri Manumbu ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa jitihada endelevu...

MADIWANI MAGU WATAKA JIMBO LAO KUGAWANYWA

Na Mwandishi wetu, Magu BARAZA la Madiwani wilayani Magu Mkoani Mwanza limekubaliana kugawa Jimbo la Magu kuwa Majimbo mawili kutokana na ukubwa wake wa kijografia...

SIMBACHAWENE AWASILI IRINGA KUTETA NA WATUNZA NYARAKA NA KUMBUKUMBU.

Na Mwandishi wetu, Iringa MKUU wa wilaya ya Iringa, Kheri James mapema leo amempokea Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora...

MA-DC, MA-DAS NA MA-DED WAHIMIZWA KUTENDA HAKI KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO NCHINI

📌Dkt. Biteko awataka kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa kuzingatia sheria 📌Asema maamuzi yao yasiwe ya upendeleo 📌Aelekeza kuandaa mkakati thabiti wa kutatua migogoro ya...

DK.SAMIA AAGIZA MRADI WA CHUMA LIGANGA KUANZA UZALISHAJI

Na Esther Mnyika @@Lajiji Digital RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amewaagiza Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji na Waziri wa Nchi...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 9, 2024 amezungumza na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini...

SERIKALI INAENDELEA KUWAHUDUMIA WAATHIRIKA WA KIMBUNGA HIDAYA – MAJALIWA

Ataja hatua zilizochukuliwa na Serikali katika kurejesha hali. Na Mwandishi wetu, Dodoma. WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutoa misaada ya kibinadamu na...

TAWA WATOA ELIMU YA KUJIHAMI NA MAMBA NA KIBOKO SHULE YA SEKONDARI ZIMBWINI KIBITI

Na Mwandishi wetu, Pwani WANAFUNZI wa shule ya sekondari Zimbwini iliyopo Kibiti Pwani wamepatiwa mafunzo maalum kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama pori Tanzania...

RAIS DK. SAMIA AZINDUA MKAKATI WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI, ATOA AGIZO HILI KWA...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Nishati kukaa pamoja na wadau ili kubaini maeneo ambayo yakifanyiwa maboresho...

WADAU WA KILIMO WAIOMBA SERIKALI KUTOA ELIMU NA MITAJI KWA VIJANA.

Na Sophia Kingimali@Lajiji Digital KATIKA kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini na kuleta tija kwa wananchi Jukwaa la wadau wa kilimo wasio kuwa wa...