DK.SAMIA AKUTANA WAZIRI ANAESHUGHULIKIA MASUALA YA KIMAENDELEO YA KIMATAIFA UFARANSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri anaeshughulikia Masuala ya Maendeleo ya Kimataifa wa Ufaransa. Chrysoula Zacharopoulou...

DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU CLEAN COOKING ALLIANCE,DYMPHNA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Clean Cooking Alliance Dymphna Van...

SERIKALI KUUNDA KAMATI MAALUM KUSHUGHULIKIA HOJA ZA CAG KILA MWAKA -DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itafanyia kazi changamoto zote zilizojitokeza katika...

MAUZO YA NYAMA NJE YA NCHI YAONGEZEKA- MAJALIWA

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kutoka tani 1,774 mwaka 2020/2021 hadi kufikia...

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SEKONDARI YA MBEYA GIRLS

Awaonya vijana wasizime ndoto za watoto wa kike Aweka jiwe la msingi jengo la Mama na Mtoto Hospitali ya Wilaya ya Kyela Na Mwandishi wetu, Kyela...

WANANCHI WAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU

šŸ“Waipongeza TAWA kwa ushirikishaji Na Beatus Maganja KUFUATIA changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu nchini, wananchi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa hususani Shinyanga na Mwanza...

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AFUNGUA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA UWT NA MADIWANI...

NaMwandishi wetu, Zanzibar MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Hemedi Suleiman Abdullah Leo Mei, 11x2024 amefungua Mafunzo kwa viongozi wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)...

RAIS DK.SAMIA KUHUTUBIA JUKWAA LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA

Na Esther Mnyika @Lajiji Digital RAIS Ā Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kushiriki katika mkutano wa kilele cha wakuu wa nchi kuhusu nishati safi ya...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA CRCC, DAI HEGEN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa China Railway Construction Corporation (CRCC) Ndugu Dai Hegen ambaye ameongozana...

DK.MWINYI AKUTANA NA ASKOFU MKUU WA ANGLIKANA DUNIANI WELBY.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Kanisa la Kianglikana...