DK. NCHEMBA WADAU WAWEKEZE KWENYE SEKTA ZA UZALISHAJI

Na. Peter Haule na Saidina Msangi, Dodoma WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini likiwemo Shirika la Maendeleo la...

RAIS DK. MWINYI KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA MASUALA YA ANGA

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajia kufungua Mkutano wa sita wa masuala ya anga wa jumuiya ya Afrika Mashariki...

ELIMU INAYOTOLEWA NA TAWA YAMWOKOA MWANANCHI KUTOKA MDOMONI MWA MAMBA

Na Beatus Maganja, Mwanza MKAZI wa Kijiji cha Kasenyi kilichopo wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza Obeid Francis (44) amenusurika kuliwa na mnyamapori aina ya...

ZANZIBAR NA COMORO ZINA MAHUSIANO MAALUM

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar na Comoro zina Mahusiano maalum ya...

TANZANIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA UNICEF-MAJALIWA

Na Mwandishi wetu Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA NCHINI UFARANSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Dk. Fatih...

TANZANIA KUNUFAIKA NA UANACHAMA WA JUMUIYA ZA NISHATI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI (EAPP)...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital TANZANIA inatarajiwa kunufaika na uanachama wake katika jumuiya za nishati za Afrika Mashariki yaani (East African Power Pool) na Kusini...

MTUTWA AMEWATAKA WANANCHI KILIPA KODI YA ARDHI KWA WAKATI

Na Mwandishi wetu, Mwanza KAMISHINA Msaidizi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba Maendeleo ya Makazi Mkoa wa Mwanza, Happiness Mtutwa amewataka wananchi wa mkoa huo...

RC CHALAMILA AKABIDHI MWENGE WA UHURU KUSINI PEMBA

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam , Albert Chalamila leo Mei 13, 2024 amekabidhi Mwenge wa Uhuru 2024 Mkoa...