TANZANIA YAUNGA MKONO UAMUZI WA SADC – MAJALIWA

Ni kuhusu mbinu za uvunaji wa maji na udhibiti wa mafuriko Na Mwandishi wetu,Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Tanzania inaunga mkono uamuzi wa Jumuiya...

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WANAOTEKELEZA AFUA ZA WANAWAKE

Awataka watumie taarifa za na takwimu za sensa kuandaa mipango yao Na Mwandishi wetu,Mwanza WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wanaotekeleza...

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA KASI YA UJENZI KITUO CHA KUPOZA UMEME CHALINZE

📌 Mradi wafikia asilimia 93.7 📌 Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka JNHPP wafikia 99.5% Na Mwandishi wetu, Pwani. KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati...

IGP WAMBURA AWAVISHA NISHANI POLISI 27 WA VYEO MBALIMBALI DAR

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura amewataka askari Polisi kuelendea kufanya kazi kwa kuzingatia tunu za Jeshi la...

WIZARA YA MADINI, WAFANYABIASHARA WA BARUTI WAJADILI CHANGAMOTO

Na Mwandishi wetu, Dodoma KAMISHNA wa Madini Dk. Abdulrahman Mwanga ameongoza kikao kazi cha wataalam wa Wizara, Tume ya Madini na wawakilishi wa Umoja...

MAJALIWA: WATANZANIA TUJIWEKEE UTARATIBU WA KUFANYA MAZOEZI

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania waendelee kujiwekea utaratibu wa kufanya mazoezi kwani ndiyo njia sahihi ya kukabiliana...

DK. NCHEMBA AONGOZA MKUTANO WA 16 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA FEDHA...

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba (katikati), akiongoza Mkutano wa 16 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Fedha na Uchumi (SCFEA) na mkutano...

UWEPO WA KIMBUNGA “IALY” KATIKA BAHARI YA HINDI KASKAZINI MWA MADAGASCAR

Mwandishi wetu, Dar es Salaam, MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mei 17,2024 inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi...

SERIKALI HAITOZI KODI WANAOBEBA MIZIGO BINAFSI KATI YA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR

Na Saidina Msangi, Dodoma. SERIKALI imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi...

IMF YARIDHISHWA NA NAMNA TANZANIA INAVYOTEKELEZA MPANGO WA ECF

Na Benny Mwaipaja, Arusha WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba, Serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera...