KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

πŸ“Œ Wizara ya Nishati yajivunia jitihada katika kulinda haki, usawa na kuwawezesha wanawake πŸ“Œ Kapinga asema lengo ni kuboresha ustawi wa mwanamke na kuongeza thamani...

TPDC YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA KITUO MAMA CHA KUJAZAJI GESI CHA MLIMANI

Dar es Salaam MWaKILISHI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Paul Makanza, ameongoza ukaguzi wa maendeleo ya mradi...

RC KANALI MTAMBI AONGOZA HAFLA YA JESHI LA POLISI UTOAJI TUZO KWA ASKARI NA...

Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi ameongoza hafla ya Polisi Family Day mkoa wa Mara iliyoambatana na utoaji tuzo kwa...

VIJANA WA KIKE FEDHA MNAZOPATA MZITUMIE PIA KATIKA UWEKEZAJI- MKURUGENZI UTAWALA NISHATI

πŸ“Œ Asema inaongeza kujiamini πŸ“Œ Asema Wizara ya Nishati inaiishi kaulimbiu ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 Dar es Salaam MKURUGENZI wa Utawala na Rasilimali Watu...

WAHIFADHI WANAWAKE WA TAWA WATEMBELEA PORI LA AKIBA WAMI-MBIKI

πŸ“ Wahamasisha utalii wa ndani Morogoro. KUELEKEA maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake , wahifadhi wanawake wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapaori Tanzania (TAWA) wametembelea...

RAIS DK.SAMIA AIAGIZA WIZARA YA NISHATI KUPITIA MAPITIO YA SERA YA USAFIRISHAJI MAFUTA

πŸ“Œ Lengo ni kuyafanya makampuni ya usambazaji mafuta upande wa Kaskazini kutumia Bandari ya Tanga. πŸ“Œ Asema Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. πŸ“ŒKapinga asema...

WAZAZI KUHIMIZA WATOTO WAPENDE ELIMU NA KUFANYIA KAZI UJUZI WALIOJIFUNZA

PWANI AFISA Mkuu Mtaala Mwandamizi wa Taasisi ya Elimu Tanzania(TET), Dk. Joyce Kahambe amewasihi wazazi waendelee kuwahimiza watoto wapende elimu na kufanyia kazi ujuzi wanaojifunza...

RAIS DK MWINYI:SERIKALI INAENDELEA KUWEKEZA KATIKA ELIMU YA JUU.

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema serikali ina wajibu mkubwa wa kuendelea kuwekeza katika elimu ya...

SERIKALI KUENDELEA KUTUNGA SERA RAFIKI KUWEZESHA USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI KATIKA NISHATI SAFI YA...

πŸ“Œ Rais Dk.Samia aitaka Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia πŸ“Œ Ataka umeme Vijijini uwe zaidi ya kuwasha taa na...

RAIS DK. MWINYI: ZANZIBAR ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA ULAYA KATIKA NYANJA MBALIMBALI ZA...

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Umoja wa Ulaya katika Nyanja mbalimbali...