RAIS WA ZANZIBAR DK. MWINYI AMEMUAPISHA SHARRIF ALI SHARRIF

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi MDk.Hussein Ali Mwinyi leo Mei 26 amemuapisha Sharrif Ali Sharrif kuwa mjumbe wa Tume ya...

WATANZANIA WAASWA KUTUMIA FURSA YA MSAADA WA KISHERIA KUTATUA MIGOGORO

📌 Ni kupitia kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia 📌 TEHAMA kutumika utoaji haki 📌Watoa huduma za sheria wahudumie wananchi kwa upendo Na Mwandishi wetu,Njombe...

SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA MADHEHEBU YA DINI-MAJALIWA

Na Mwandishi wetu, Mbeya WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuthamini, kutambua na kuheshimu mchango wa madhehebu ya dini katika kuchochea maendeleo katika...

DK. BITEKO KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NJOMBE

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akitembelea mabanda mbalimbali katika hafla maalum ya Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria...

SWAHIBA WA NYERERE APONGEZA UONGOZI WA SAMIA, AKITIMIZA MIAKA 99

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MWANASIASA mkongwe nchini, Alhadji Mustapha Songambele amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza vyema taifa. Mzee Songambele ametoa pongezi hizo mbele...

SERIKALI KUREJESHA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIKA NA MVUA-MAJALIWA

Asisitiza mpango wa Serikali wa kukuza sekta ya kilimo Na Mwandishi wetu, Ruanga WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imejipanga kuendelea kurejesha miundombinu yote...

COMRADE KINANA AIPONGEZA UWT KWA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NCHINI

Na Mwandishi wetu, Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara COMRADE Abdulrahman Kinana ameipongeza Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania...

DK. NCHEMBA AUSHUKURU UMOJA WA ULAYA KWA KUSAIDIA MAENDELEO YA NCHI

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchembaameishukuru Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa mchango wake katika maendeleo ya Tanzania,...

SI MAJANGA YOTE YA MOTO MAJUMBANI YANASABABISHWA NA UMEME WA TANESCO

📌Matumizi ya wakandarasi wasio na utaalamu (Vishoka)kutandaza nyaya (wiring)pasipo kuwa na utaalaamu wa kufanya hivyo 📌*Matumizi holela ya vyombo mbalimbambali vinavyohitaji kutumia nishati ya Umeme...

SERIKALI IMEDHAMIRIA KUENDELEA KUTEKELEZA AGENDA YA UCHUMI WA VIWANDA: DK. BITEKO

📌Tanzania na Uganda kuendelea kushirikiana kukuza biashara na diplomasia 📌 Serikali kuhakikisha upatikanaji wa mafuta na gesi kwa bei nafuu na kuongeza ushiriki wa wananchi...