“MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?” 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32.

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani wakazi 12 wa Ifakara, Morogoro akiwemo Barnaba Gidajuri (45) wakikabiliwa na mashtaka ya...

JK KINARA UTAFUTAJI FEDHA ZA KUIMARISHA ELIMU AFRIKA

Na Mwandishi wetu, RAIS Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE)...

MITAMBO YA KUPIMA UBORA WA BARABARA KULETA MAGEUZI: DK. TULIA

Na Mwandishi wetu, Dodoma SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara...

DK.MPANGO ATOA MAELEKEZO KWA WAHANDISI WASHAURI KUPITIA UPYA MIKATABA YA UJENZI NA UNUNUZI.

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amesema upo umuhimu wa kupitia upya vipengele katika nyaraka zinazoandaliwa na Taasisi ya...

DK.MPANGO ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango anatarajiwa kuzindua Sera ya Taifa ya Uchumi...

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAPEWA ELIMU KUHUSU UKOKOTOAJI WA...

📌 Yapongeza umakini katika udhibiti Na Mwandishi Wetu. MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA), imetoa elimu kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu...

BALOZI DK NCHIMBI: MFUMO WA ELIMU UTAWASAIDIA WATANZANIA KUSHINDANA KIMATAIFA

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu ya Tanzania...

TANZANIA YASHIKA UKURUGENZI WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA.

Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF – Nairobi TANZANIA inatarajia kushika nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji mbadala (Alternative Executive Director) katika Kundi la Magavana wa...

BENKI KUU KUSIMAMIA KANZIDATA YA TAARIFA ZA WAKOPAJI

Na Saidina Msangi,Dodoma. SERIKALI imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa leseni kwa kampuni mbili za kuchakata taarifa za mikopo, kampuni hizo ni Creditinfo...

MKATABA WA TANESCO NA SONGAS KUMALIZIKA JULAI 2024.

Na Mwandishi wetu Dodoma SERIKALI imesema kuwa mkataba wa ununuzi wa umeme kati ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na SONGAS utafikia ukomo Julai...