MGOGORO WA MIPAKA PORI LA AKIBA LIPARAMBA WATATULIWA, WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI
Na Beatus Maganja
JUHUDI za Serikali za kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi baina ya Hifadhi na wananchi zinaendelea kuzaa matunda baada ya kutatua...
WATAALAM WALIOSTAAFU KUENDELEA KUTUMIKA KATIKA UJENZI NA MATENGENEZO YA BARABARA: BASHUNGWA
WIZARA ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara.
Haya yamebainishwa...
RAIS DK.MWINYI AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA UFARANSA KUWEKEZA ZANZIBAR
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia...
RAIS DK.SAMIA AAPISHA WAJUMBE WA TUME YA MAENDELEO YA TAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla...
TRA TAASISI YA KWANZA KUTAMBUA NGUVU YA DIGITAL PLATFORM📌
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) wamekutana na waandishi wa habari wa mtandaoni katika Semina waliyoiandaa kwa kushirikiana na Jukwaa la Wanahabari wa mtandaoni (JUMIKITA)...
DK. NCHEMBA AIOMBA INDONESIA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUBORESHA MIFUMO YA KODI
Na. Benny Mwaipaja, Dodoma.
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, ameiomba Indonesia kushirikiana na Tanzania kuboresha mifumo ya kodi ili kuboresha ukusanyaji wa mapato ya...
SERIKALI KUTUMIA VIKAO RASMI KUTOA ELIMU YA FEDHA
Na Josephine Majula, Kagera
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Isaya Mbenje, amesema kuwa Serikali itaanza kutumia vikao vyake rasmi kutoa elimu ya huduma...
WIZARA YA UJENZI IMEJIPANGA KURUDISHA MIUNDOMBINU ILIYOHARIBIKA: BASHUNGWA
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la...
TANZANIA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA MASHARIKI
Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, Nairobi- Kenya
BENKI ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) imeahidi kuendeleza ushirikiano uliopo kati yake na Tanzania kwa kuendelea...
SERIKALI IPO TAYARI KUTOA FEDHA KUREJERESHA MIUNDOMBINU ILIYOHARIBIWA NA MVUA
Na Esther Mnyika@Lajiji Digital
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhandisi Rogatus Mativila amesema wameshafanya tathimini ya kurejeresha miundombinu iliyoharibiwa na mvua zinahitaji ...