WADAU WA UNUNUZI WASHAURIWA KUZINGATIA UADILIFU, UAMINIFU NA HAKI

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital SERIKALI imewapa changamoto wadau wa Sekta ya ununuzi wa umma kuhakikisha wanazingagtia misingi ya uadilifu, uaminifu na haki katika michakato...

MAGARI YA UMEME SASA RASMI TANZANIA

📌Uzinduzi wa magari ya umeme kuwawezesha wananchi kutumia nishati safi 📌Serikali yaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo nchini Na Mwandishi wetu,Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri...

JELA MIAKA 7 KWA KUJIFANYA ASKARI POLISI NA KUJIPATIA FEDHA WILAYANI MASWA

Na Shomari Binda MAHAKAMA ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemtia hatiani mshitakiwa Alex Nangale mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa mtaa wa Sokoni...

MIGODI YA MADINI 21,686 YAKUGULIWA KATIKA KIPINDI CHA JULAI 2023 HADI APRILI 2024

Kati ya migodi hiyo, migodi mikubwa ni nane, migodi ya kati 56 na migodi midogo 21,622. Na Mwandishi wetu, Dodoma HAYO yamesemwa na Naibu Katibu...

ZANZIBAR ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA NORWAY-DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Serikali ya Norway...

JUMUIYA YA SHIA WAMPONGEZA RAIS DK.MWINYI KWA MAENDELEO

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru uongozi wa Jumuiya ya Shia Tanzania kumpongeza...

WABUNGE WATAKA BAJETI YA UJENZI IPITE//WALILIA IONGEZWE FEDHA

Na Mwandishi wetu, Dodoma WABUNGE wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza...

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA TAASISI ZA KIFEDHA KUZITAMBUA HATI ZA KIMILA

Na Mwandishi wetu,Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuzitambua hati za kimila kama dhamana ya kutoa mikopo kwa...

WAPIGA KURA WAPYA 224,355 KUANDIKISHWA KIGOMA

Na Mwandishi wetu, Kigoma WAPIGA kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa...

KUELEKEA UZINDUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARA, HIVI NDIVYO WADAU WANAVYOUZUNGUMZIA MRADI HUO

Na Mwandishi wetu, Morogoro WAKAZI wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri...