ANZISHENI MADAWATI YA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU-MAJALIWA

Tanga WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri zote nchini zihakikishe zinakamilisha uanzishwaji wa Madawati ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu ifikapo Julai 2025. Pia amesema.Halmashauri hizo pia...

DK. BITEKO AZINDUA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARA

📌 Kuimarisha upatikanaji umeme Kilombero, Ulanga na Malinyi 📌 Kuchochea viwanda vya uongezaji thamani Mazao, Madini 📌 Asema Serikali inachukulia kwa uzito mkubwa suala la upatikanaji...

DMI VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA UBAHARIA

Na Boniface Gideon -TANGA CHUO cha Ubaharia Nchini cha Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), kimewataka Vijana kuchangamkia fursa za masomo ya Ubaharia ili kuingia...

RAIS DK.SAMIA AWASILI KOREA KUSINI KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa...

TANZANIA YAUNGWA MKONO NA SADC KWA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Angola NAIBU Waziri wa Nishati Mheshimiwa Judith Kapinga amesema kuwa Tanzania imezindua Programu ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ya kuwasaidia Wanawake wa Afrika...

SWICA YAIINGIZIA SERIKALI DOLA ZA MAREKANI 2,773,000

Na Beatus Maganja, Dodoma WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angellah Jasmin Kairuki amesema katika kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii, Wizara yake imefanikiwa...

MAJALIWA AWASILI TANGA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili Mei 31 2024 mkoani Tanga ambapo atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi...

ASANTE SANA MAREKANI KWA MSAADA WA VIFAA VYA TEHAMA-QS KIPANGA

DODOMA NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omari Kipanga ameishukuru Serikali ya marekani kupitia ubalozi wake hapa nchini kwa kudhamini kituo cha kisasa cha...

SERIKALI YATOA SULUHU YA UVAMIZI MIGODINI, YAWAPATIA VIJANA MAENEO YA UCHIMBAJI WADOGO NYAMONGO –...

Mara SERIKALI imepanga kutenga maeneo ya uchimbaji na kuwapatia vijana ili wawe na sehemu ya kujipatia kipato ikiwa ni kuhakikisha wanakabiliana na changamoto ya uvamizi...

KAIRUKI AKIWASILI BUNGENI KUWASILISHA BAJETI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki akiwasili katika Viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma kwa ajili ya...