IDARA/VITENGO VYA MAZINGIRA VYASISITIZWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

๐Ÿ“Œ Taaasisi za mazingira zatakiwa kuhakikisha mazingira yanahifadhiwa ๐Ÿ“Œ Kupanda mti pekee haitoshi kutunza mazingira ๐Ÿ“Œ Kila mtanzania ana jukumu la kuhakikisha anatunza na kuhifadhi mazingira Dodoma...

PPAA MBIONI KUKAMILISHA KANUNI ZA RUFAA ZA UNUNUZI WA UMMA ZA MWAKA 2024

Dar es Salaam MAMLAKA ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ipo katika hatua za mwisho za kupokea maoni ya Kanuni za Rufaa za...

DIWANI AMINA MASISSA AHIMIZA USAFI WA MAZINGIRA MAENEO YA MAJUMBANI NA BIASHARA

Na Shomari Binda-Musoma DIWANI wa viti maalum manispaa ya Musoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango Miji Amina Masissa amehimiza jamii kuwa na utaratibu wa...

JELA MIAKA 50 KWA KUBAKA NA UTAKATISHAJI WA FEDHA

Lindi MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Lindi, imewahukumu kwenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji na miaka 20 kwa kosa la utakatishaji fedha pamoja na...

WAZIRI MKUU: TUTAENDELEA KUWASHIRIKISHA WAVUVI NA WAFUGAJI KWENYE MIPANGO YA MAENDELEO

Geita WAZIRI Mkuu Kassim Majakiwa amesema Serikali inaendelea kujikita katika kuhakikisha inaimarisha na kuwashirikisha wavuvi na wafugaji katika mipango ya maendeleo. Amesema hayo leo Juni...

DK.NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATA YA MATAVES

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Kata ya Mataves, katika eneo la Kitongoji cha...

SERIKALI YENU IPO IMARA-MAJALIWA

Geita WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Swrikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ipo imara na inaemdelea kutekeleza miradi...

RAIS DK.SAMIA AFANYA KIKAO MAALUM WAWEKEZAJI NA WAMILIKI WAKUBWA WA KAMPUNI KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiangalia picha maarufu zenye taswira yake muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao maalum...

TOFAUTI ZA DINI, SIASA ZISIWAGAWE WATANZANIA – DK. BITEKO

๐Ÿ“Œ Awataka waumini kushirikiana na Askofu Pangani ๐Ÿ“ŒSerikali kuendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini ๐Ÿ“Œ Rais Samia apewa tuzo kwa uongozi uliotukuka na kulinda amani Mbeya...

UNDENI VIKUNDI ILI MNUFAIKE NA MIKOPO-WAZIRI MKUU

Geita WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 02, 2024 amezindua jengo la kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi katika halmashauri ya wilaya ya Nyangโ€™hwale, Mkoani...