MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA KWENYE KATA 4 MUSOMA VIJIJINI

Na Shomari Binda-Musoma MAMLAKA ya Maji na Usafi wa Mazingira Musoma ( MUWASA) imeendelea na zoezi la usambazaji maji ya bomba kwenye Kata 4 jimbo...

TCCS KWA KUSHIRIKIANA TADB WAMEANDAA MAONESHO YA KIMATAIFA YA MIFUGO

Na Esther Mnyika CHAMA cha Wafanyabiashara wa Ng'ombe Tanzania (TCCS) kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wameandaa maonesho ya Kimataifa...

NCHIMBI ALIVYOINGIA KILIMANJARO KWA KISHINDO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wananchi wa Mji wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro,...

WAKAZI WA KIGOMA WAASWA KUJIHADHARI NA MIKOPO KAUSHA DAMU

Na Chedaiwe Msuya,Kigoma MKUU wa Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, Kanal Anthony Mwakisu amewataka Wananchi kukopa kwenye taasisi za fedha zilizosajiliwa na Serikali na kutambulika...

TANESCO KINONDONI WAMEZINDUA WIKI YA ELIMU KWAAJILI YA KUISADIA WANANCHI

Na Esther Mnyika SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO ) Mkoa wa Kinondoni Kaskazini imezindua wiki ya elimu kwa umma kwa ajili ya kusaidia wananchi...

TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA UMEME KWA WANANCHI

📌 Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati 📌Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea kuimarisha sekta ya nishati nchini 📌Tanzania...

KUNAMBI AKABIDHIWA OFISI NA JOKATE

Dodoma KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Suzan Kunambi (MNEC) amepokea taarifa rasmi ya makabidhiano ya Ofisi...

DK.MPANGO ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI KONGAMANO LA DIRA YA MAENDELEO 205O

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Dira ya Maendeleo 2050 kujadili mustakabali wa nchi litakalofanyika Juni...

NCHIMBI AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO ARUSHA

Arusha KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa eneo la USA River, Wilaya ya Arumeru,...

SERIKALI YAFANIKISHA KUPATIKANA MAENEO 15 YA UCHIMBAJI KWA WANAWAKE GEITA

-Takriban Wanawake 300 walioahidiwa na Rais Samia kunufaika -Serikali kulipia Leseni hizo ada zote kwa kipindi cha awali Dodoma NAIBU Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa amesema...