DK. BITEK0 AIAGIZA TANESCO KUJENGA LAINI MPYA YA UMEME USHIROMBO

Geita NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kujenga laini mpya ya Umeme kutoka Nyakanazi-Ushirombo...

ACHENI SIASA ZA MALUMBANO HAZILETI MAENDELEO; ASEMA DKT BITEKO

📌 Afanya mkutano wa hadhara na wananchi wa jimbo la Bukombe 📌 Amshukuru Rais, Dkt. Samia kwa fedha za maendeleo Bukombe 📌 Ahimiza maendeleo kwa wana...

MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 TANZANIA IMEPATA KOREA HAUNA MASHARITI.

Na Esther Mnyika, WAZIRI Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mkopo wa dola za Kimarekani bilioni 2.5 ambao Tanzania imepata...

UNICEF YAIMWAGIA SIFA TANZANIA KWA UWAZI KATIKA MAANDALIZI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI

Na Benny Mwaipaja, Dodoma SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limeipongeza Tanzania kwa kupiga hatua kubwa katika masuala ya uwazi kwenye mchakato...

DOYO KUGOMBEA NAFASI MWENYEKITI TAIFA ADC

Na Sophia Kingimali. ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama Cha Alliance for Democract Change(ADC) Taifa Doyo Doyo ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa baada...

DK. NCHIMBI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA HIMO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Himo Njiapanda, Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa...

WAZIRI MKUU ATAKA UWIANO SAWA WA WALIMU KATI YA MIJINI NA VIJIJINI

 Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Elimu na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wafanye mapitio ya ikama zao kuangalia mlundikano wa walimu katika...

ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 80 ZASAMBAZA UMEME VIJIJINI MKOANI SINGIDA

📌 Kapinga apeleka shangwe za umeme Maswauya na Mdilu Singida Kaskazini 📌 Asema hayo ni matokeo ya uchapakazi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan 📌 Mbunge apongeza...

IFANYENI SEKTA YA UVUVI AFRIKA KUCHANGIA PATO LA TAIFA:DK. BITEKO

📌 Afungua rasmi mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi Afrika 📌 Ataka changamoto za uvuvi Afrika kutatuliwa 📌 Asema sekta ya uvuvi inachangia sh.trilioni 3.4...