WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA ANAYEMALIZA MUDA WAKE

Dar es Salaam Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 09, 2024 amefanya mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Balozi Marco Lombardi ambaye amemaliza...

WABUNGE WAPEWA SEMINA SERA MPYA YA JINSIA

Dodoma NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Azzan Zungu amesema ili kwenda sambamba na utekelezaji wa dhana ya kuwa na Bajeti...

WANANCHI SENGEREMA WAASWA KUZINGATIA MATUMIZI YA VIZIMBA ILI KUEPUKA MADHARA YA MAMBA

Na Beatus Maganja WANANCHI waishio kandokando ya ziwa Victoria wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza wamesisitizwa umuhimu wa kuzingatia matumizi ya vizimba vilivyojengwa na Wizara ya...

MAKAMU WA RAIS ATAKA DIRA 2050 ITAMBUE MAHITAJI YA VIJANA

Dar es Salaam MAKAMU wa Rais wa Dk. Philip Mpango amesema Dira 2050 ni muhimu itambue mahitaji ya vijana na kubeba  matamanio yao ili...

WANANCHI WASHAURIWA KUWA NA UTAMADUNI WA KUWEKA AKIBA YA FEDHA

Na Chedaiwe Msuya, Kigoma WANANCHI wametakiwa kukopa mikopo yenye faida kwenye taasisi au mtu binafsi ambaye ana leseni iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania ili...

WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI KONGAMANO LA KITAIFA LA NISHATI JADIDIFU

📌 Yaeleza juhudi za Serikali katika uendelezaji wa Nishati Jadidfu nchini* 📌 Mkakati na Mpango Kazi wa Kitaifa wa Nishati Jadidifu mbioni kuzinduliwa WIZARA ya Nishati...

WATENDAJI SERIKALINI WATAKIWA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

📌 Wananchi Kata ya Katome wanufaika na mradi wa maji 📌 Barabara ya njia nne kujengwa Mwanza - Kigongo Busisi Geita NAIBU Waziri Mkuu na Waziri...

DK. BITEKO AWATAKA WAZAZI KUPELEKA WATOTO SHULE

📌 Asisitiza nia yake kuchochea maendeleo Bukombe 📌 Ataka ufuatiliaji wa wasioenda shule ufanyike hadi ngazi ya kaya 📌 Daraja la mpakani kati ya Burenga na...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO MAALUM WA 23 WA WAKUU WA NCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifuatilia kwa makini mazungumzo wakati aliposhiriki Mkutano Maalum wa 23 wa Wakuu wa Nchi...

NCHIMBI AWASILI TANGA, KUHITIMISHA MIKOA 5

Tanga Matukio mbalimbali katika picha wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi alipowasili na kupokelewa Mkoa wa Tanga, kwa...