WAZIRI MKUU: SERIKALI YASAJILI MIRADI YA DOLA BILIONI 8.65 NDANI YA MWAKA MMOJA

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni...

DK. TULIA ASISITIZA UMUHIMU WA VIJANA KUPEWA KIPAUMBELE CHA ELIMU NA AJIRA

Armenia SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amesema kuwa vijana...

HESLB KUSHIRIKIANA NA TAASISI TATU KUWASAKA WADAIWA SUGU WA MIKOPO.

Dar es Salaam BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Imebadilishana hati za makubaliano na Taasisi tatu za kimkakati ambazo...

SHIUMA KUFANYA MAREKEBISHO YA KATIBA YAO

Na Magrethy Katengu -Dar es salaam SHIRIKISHO la Umoja wa Wamachinga Tanzania(SHIUMA) kufanya mabadiliko ya Katiba katika Mikoa yote Nchini ili kuweza kuondoa mapungufu mengi...

MADINI YA DHAHABU KILO 15.78 YENYE THAMANI YA TSH BILIONI 3.4 YAKAMATWA BANDARINI YAKITOROSHWA

*Watuhumiwa watatu wakamatwa Waziri Mavunde asisitiza kufuta leseni zao za kufanya biashara ya madini * -Atoa rai kwa wadau kuzingatia sheria na taratibu Dar es Salaam WAZIRI wa...

BASHE AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TABORA.

Tabora WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameanza ziara ya kikazi katika Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora ambapo ameanzia kwa kukutana na Viongozi...

BASHE: KILIMO NI SAYANSI NA IGUNGA IMEKUWA KINARA CHA UZALISHAJI PAMBA

*Serikali haiwezi kuleta dawa feki; Serikali haiwezi kuleta mbegu feki Tabora WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameongea na Wakulima wa zao la Pamba katika Wilaya...

DK. JAFO : WATANZANIA TUJIAMINI KUWEKEZA KATIKA VIWANDA TUTUMIE BIDHAA ZETU

Pwani WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk.Selemani Jafo (ametoa rai kwa Watanzania kujiamini kuwa wananaweza kuanzisha viwanda na kufanya biashara ili kuongeza ajira, pato...

ONGEZENI KASI YA UZALISHAJI SUKARI

Bagamoyo WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk.Selemani Jafo amekishauri Kiwanda cha Sukari cha Bagamoyo kuongeza kasi ya uzalishaji wa sukariili kupunguza changamoto ya...

WAZIRI BASHE AGAWA TREKTA 400, PIKIPIKI 1000 NA BAISKELI 2500 KWA WAKULIMA

Tabora WAKULIMA wa Zao la Pamba nchini wanatarajia kunufaika na zana za kilimo kufuatia ugawaji wa trekta 400, pikipiki 1000 na baiskeli 2500, boza...