BOT KUTOA MIONGOZO NA KANUNI MPYA KWA AJILI YA KURATIBU WATOA HUDUMA NDOGO ZA...

Na Esther Mnyika@Dar es Salaam BENKI kuu ya Tanzania (BOT)ipo mbioni kutoa miongozo na kanuni mpya kwa ajili ya kuratibu watoa huduma ndogo za...

WAPIGWA MSASA KUDHIBITI UTOROSHAJI MADINI

Morogoro WATUMISHI wa Kurugenzi ya Ukaguzi na Biashara ya Madini kutoka Tume ya Madini, wamepigwa msasa namna ya kudhibiti utoroshaji wa madini nje ya...

UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR KUJIFUNZA SERA YA MADINI TANZANIA BARA

Dodoma UJUMBE wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini kutoka Visiwani Zanzibar umekutana na Wizara ya Madini katika Kikao kazi cha kujadili na kutoa...

SERIKALI IMELIPA WAZABUNI KIASI CHA SHILINGI BILIONI 949 HADI MACHI, 2024

Na. Peter Haule, Dodoma SERIKALI imesema kuwa hadi Machi 2024 imelipa jumla ya shilingi bilioni 949.31 sawa na asilimia 92 ya madeni ya wazabuni...

WAHANDISI WASHAURI NCHINI WATAKIWA KUSIMAMIA KWA UKARIBU UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Tabora NAIBU Katibu Mkuu anayesimamia miundombinu OR-TAMISEMI Mhandisi Rogatus Matavila amewataka Wahandisi Washauri wanaosimamia miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara nchini kusimamia kwa ukaribu miradi...

FRIENDS OF SERENGETI YATOA UFADHILI WA VIFAA VYA DORIA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA...

Na Beatus Maganja, Arusha. KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhifadhi na kulinda rasilimali za wanyamapori nchini ikiwa ni pamoja na kudhibiti wa wanyama...

SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI ZOTE ZA KUPIKIA

📌 Yawatoa hofu sekta binafsi kudhani nishati safi ni gesi pekee 📌 Mchango wa gesi asilia nishati safi kuchangia asilimia10 miaka kumi ijayo 📌 Umoja wa...

DK. BITEKO ATETA NA VIONGOZI WA CCM BUKOMBE

📌 Asema uimara wa CCM unatokana na misingi imara iliyowekwa na Waasisi 📌 Amshukuru Rais Dk. Samia kwa fedha za miradi Bukombe 📌 Asisitiza umuhimu wa...

SMART DARASA YAWAFUNGULIA MILANGO WADAU WAPYA WA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO KATIKA ELIMU

Na Mwandishi wetu WADAU wa Elimu nchini waaswa kutumia ubunifu mbalimbali kuhakikisha wanaongeza ufaulu na Kurahisisha nyezo za Watoto Mashuleni Kujifunza kwa Kutumia mifumo...