TUME YA MADINI YAJIPANGA KUKUSANYA SHILINGI TRILIONI 1

Mhandisi Samamba ataka kuongeza weledi na umoja katika utendaji kazi TANGA Wakati Bajeti Kuu ya Serikali ikitarajiwa kuwasilishwa kesho, Menejimenti ya Tume ya Madini imetakiwa kufanya...

WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA WATUMISHI WA UMMA

Awataka waondoe urasimu na kutowasumbua wananchi wanaowahudumia Arusha WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini kote wawatumikie wananchi ipasavyo na wahakikishe wanaondoa urasimu...

TANZANIA KUENDELEA KUTOA KIPAUMBELE VYANZO MBADALA VYA UMEME

📌 Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika 📌 Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati 📌...

BRELA YATOA GAWIO KWA SERIKALI KWA TAASISI ZA UMMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan jana Juni, 11 2024, amepokea gawio la kiasi shilingi Bilioni Kumi na...

RAIS WA CHAMA CHA TAS ALILIA HUKUMU KALI KWA WANAOKUTWA NA VIUNGO NA MAUAJI...

Pwani RAIS wa Chama cha watu wenye ualbino Tanzania (TAS) Godson Mollel aonyesha kushangazwa na Mahakama nchini kutowahi kutoa adhabu kali kwa watu wanaokutwa...

TARURA YAENDELEA NA UJENZI WA MITARO MIKUBWA YA MAJI MKOANI TABORA.

Tabora WAKALA wa Barbara za Vijijini na Mijini (TARURA ) mkoani TABORA unatekeleza ujenzi wa mitaro mikubwa ya maji ili kuondoa kero kwa wananchi hasa...

YEYOTE ANAYETAKA KUMKERA AKANYAGIE UCHUMI:RAIS DK.SAMIA

Dar es Salaam RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan mesema yoyote anayetaka kumkera amkanyagie uchumi ambao sasa umekuwa katika mageuzi makubwa. Pia amesema mageuzi ya...

TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO YAWEKA TABASAMU KWA WATOTO WENYE UHITAJI KUWAPATI BASKELI...

Na Magrethy Katengu TAASISI ya Ongea na Mwanao kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wametoa Baskeli za 250 kwa watoto wenye mahitaji maalumu (Walemavu) 250...

WANANCHI KIBOSHO WAIOMBA SERIKALI KUWAJENGEA VIVUKO VYA KUDUMU

Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro WANANCHI wa Kata ya Kibosho,wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro,wameungana na wadau wa maendeleo kushiriki katika ujenzi wa daraja linalounganisha...

PUMA ENERGY YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 12.2, RAIS DK. SAMIA APONGEZA

Dar es Salaam KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imepongezwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira Mazuri ya uwekezaji ambayo yamesababisha...