RAIS DK .MWINYI AZINDUA KIGODA CHA ABEID KARUME

Zanzibar MKUU wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amekitaka Kigoda cha taaluma...

RAIS SAMIA ABAINISHA MIKAKATI YA TAARIFA YA MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI YAGUSIA...

Dodoma RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amewapongeza na kuwashukuru Waziri Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) George Mkuchika na Jaji mstaafu Joseph Warioba...

WAZIRI MKUU AZINDUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIRUTUBISHI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Kiwanda cha kutengeneza virutubishi (premix blending plant), cha kampuni ya SANKU – PHC Tanzania. Viongozi wengine walioshiriki katika hafla hiyo...

MRADI WA JULIUS NYERERE WAKAMILISHA MTAMBO NAMBA NANE NA KUINGIZA UMEME KWENYE GRIDI YA...

Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa...

RAIS DK.SAMIA APOKEA TAARIFA YA TUME YA HAKI JINAI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa...

JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 14 WILAYANI MASWA

Na Shomari Binda-Maswa MAHAKAMA ya Hakimu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemtia hatiani mshitakiwa Beatus Manon mwenye umri wa miaka 26 mkazi wa Kijiji...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA ADANI GROUP

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Adani Group kutoka nchini India Gautam Adani Ikulu...

DK. BITEKO AZINDUA TAARIFA ZA UTENDAJI KATIKA SEKTA YA NISHATI

📌 Sekta ya Nishati yazidi kuimarika 📌 Uwekezaji kwenye Gesi Asilia, Mafuta na Umeme waongezeka 📌 Ataka changamoto zilizoainishwa zipatiwe majibu ndani ya miezi mitatu 📌 Aitaka...

BODI YA REA YAZURU KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIFAA VYA UMEME

✅ Ni Elsewedy Electric kilichopo Dar es Salaam ✅ Waridhishwa na uwezo wa Kiwanda katika uzalishaji ✅ Uongozi wa Kiwanda waipongeza REA kuunga mkono wawekezaji wa...

BODI YA TAWA KUJA NA MIKAKATI KABAMBE YA KUIBORESHA HIFADHI YA PANDE

Na Beatus Maganja, Dar es Salaam. MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA Meja Jenerali(Mstaafu), Hamis Semfuko amesema Bodi anayooingoza imejipanga kuja na mipango...