RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS WA AFRIKA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Jengo la Umoja Jijini Pretoria kwa ajili ya kuhudhuria hafla...

WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE WIKI YA UTUMISHI...

πŸ“Œ Wizara yatanabaisha miradi yake πŸ“Œ Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia waendelea kusambazwa Dodoma WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma...

SEKTA BINAFSI MSHIRIKA MKUBWA WA SERIKALI KATIKA KUTEKELEZA AGENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

πŸ“Œ Upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia kufika hadi ngazi ya Kaya πŸ“ŒAsisitiza kuisukuma ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia πŸ“ŒAsilimia 80 ya Watanzania kutumia Nishati Safi...

MHANDISI MATIVILA ARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA MOROGORO

*Daraja la Lukuyu kuwaondolea adha wakulima kata ya Bigwa Morogoro NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI anayesimamia Miundombinu,Mhandisi...

KATIBU MKUU NISHATI AKUTANA NA WAFANYAKAZI

πŸ“Œ Ahimiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Wafanyakazi πŸ“Œ Awataka Wakuu wa Idara na Vitengo kutoa fursa kwa Maafisa πŸ“Œ Asisitiza motisha kwa wanaofanya vizuri πŸ“Œ Dk. Mataragio...

VYOMBO VYA HABARI SIO MSHINDANI WA SERIKALI:DK. SAMIA

Dar es Salaam RAIS Dk. Samia suluhu Hassani amesema kuwa vyombo vya habari sio mshindani wa serikali bali ni mdau na ni mshiriki muhimu...

KATIBU MKUU DK. ABDALLAH AHIMIZA WANAHABARI KUTILIA MKAZO TAARIFA ZA BRELA KUHAMASISHA URASIMISHAJI BIASHARA

Morogoro KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dk. Hashil Abdallah amewahimiza waandishi wa habari kupitia kalamu zao na vipaza sauti kusaidia katika kuhakikisha...

DK.MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA TAASISI YA UWEKEZAJI YA UINGEREZA (BII)

Dodoma. MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya...

MRADI WA TAZA KUBORESHA HUDUMA YA UMEME MAFINGA

πŸ“Œ Vituo vya kupoza umeme kujengwa kuimarisha usambazaji umeme πŸ“Œ Taasisi zapewa kipaumbele miradi ya usambazaji umeme Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali...