MILIONI 250 ZAIDHINISHWA UJENZI WA DARAJA LA KILOKA WILAYANI MOROGORO

Morogoro SERIKALI imeshaidhininisha kiasi cha shilingi Milioni 250 kwaajili ya ujenzi wa daraja la Kiloka linaounganisha kijiji cha Kiloka na vijiji jirani ambalo lilisombwa na...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CPC

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa Leo Juni 21, 2024 amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na...

TARURA ONGEZENI UMAKINI KWA WAKANDARASI:MHANDISI MATIVILA

*Afurahishwa na utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Tegetero-Lubwe Morogoro NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya OR-TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu  Mhandisi Rogatus Mativila ameitaka Wakala ya barabara...

DK. MPANGO AELEKEZA MADINI YA KIMKAKATI KUWEKEWA MKAZO

Asisitiza Wizara kuzingatia masuala muhimu ya uwekezaji na kufanyika maamuzi ya haraka Mavunde asema Wizara kununua Helkopta kwa shughuli za utafiti wa Kijiofizikia, Maabara Kubwa...

MA-RC, MA-DC ANZISHENI OPERESHENI MAALUM ZA ULINZI – MAJALIWA

Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wahakikishe kila halmashauri inaanzisha operesheni maalum za ulinzi kwa watu wenye...

BODI YA TANESCO YAFURAHISHWA NA KUPONGEZA MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA JULIUS NYERERE

Na Charles Kombe, Rufiji BODI ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imefurahishwa na kupongeza wasimamizi wa mradi juu ya hatua za ujenzi wa...

AfCFTA KUONGEZA MAUZO YA NJE NA KUBORESHA UWIANO WA BIASHARA

Zanzibar KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dk. Hashil Abdallah amesema utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) katika kuondoa...

BRELA YATAKA WANANCHI KUSAJILI MAJINA YA BIASHARA ZAO

Morogoro WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza Wananchi kusajili majina ya biashara zao. Hayo yabenainishwa Juni 19, 2024 mkoani Morogoro na...

RAIS WA GUINEA BISAU KUZURU TANZANIA SIKU TATU KUANZIA JUNI 21 HADI23, 2024

Dar es salaam RAIS wa Jamhuri ya Guinea Bissau ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Muungano wa Viongozi wa Afrika katika Kudhibiti Malaria (ALMA),...

TANZANIA NA SAUDI ARABIA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI

📌Serikali kuimarisha maghala ya mafuta nchini 📌Dkt. Biteko akaribisha uwekezaji wa uzalishaji wa dawa za mifugo Dodoma NAIBU wa Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, ...