MAJALIWA:KUZINDUA MIFUMO YA KIDIGITALI YA UWAJIBIKAJI NA USIMAMIZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 23, 2024 atazindua Mifumo ya Kidijitali ya Uwajibikaji na Usimamizi wa Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma iliyosanifiwa...

RAIS DK.SAMIA AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dk. John Stephen Simbachawene kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na...

BANDARI YA DAR ES SALAAM YAANZW KUPOKEA MELI KUBWA ZA MIZIGO

Dar es Salaam BANDARI ya Dar es Salaam imeweka rekodi kwa kupokea meli kubwa ya mizigo yenye urefu wa mita 294.1 tofauti na meli ambazo...

WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA...

Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika Siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Chinangali...

BALOZI NCHIMBI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA TIXON NZUNDA SONGWE

Songwe KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, leo ameongoza maelfu ya waombolezaji wakiwemo viongozi na wananchi kutoka maeneo mnalimbali...

TANZANIA NA GUINEA BISSAU KUSHIRIKIANA KUKUZA UCHUMI WA BULUU NA KILIMO CHA KOROSHO

Dar es Salaam RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Guinea Bissau zina mambo mengi ya kushirikiana katika kukuza uchumi wa buluu na kilimo...

UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUANZA JULAI, 20 2024 KIGOMA.

Kigoma. TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kusogezwa be mbele kwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura hadi...

MAJALIWA KUZINDUA RIPOTI YA KIDEMOGRAFIA, KIJAMII, KIUCHUMI NA MAZINGIRA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 22, 2024 atazindua ripoti ya Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi na...

NAPE AMEWATAKA MAAFISA HABARI UJUZI WALIOPATA KUBORESHA UTENDAJI WAO

Dar es Salaam WAZIRI wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka Maafisa Habari watumie ujuzi waliopata kuboresha utendaji wao na ujuzi...