MAENEO SABA YAZINGATIWA UKAGUAJI WA MAGARI YA WANAFUNZI MWANZA.

Mwanza JESHI la Polisi Mkoani Mwanza limezindua kampeni ya wiki moja ya ukaguzi wa magari yanayotoa huduma za usafirishaji wa wanafunzi katika shule za...

MATUMIZI YA KIDIGITILI MASHULENI KWENDA KURAHISISHA UFUNDISHAJI

Na Magrethy Katengu- Dar es salaam SEKTA ya Elimu inatakiwa kuja na mikakati mizuri ya Tehama ili kusaidia weledi wa ufundishaji kwa kuangalia mabadiliko...

DK. MWINYI AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya...

DK. BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA MODERN INDUSTRIAL PARK

📌 Asisitiza Serikali itaendelea kushirikiana na wawekezaji Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa...

NCAA YAZITAKA BAADHI YA TAASISI KUACHA UPOTOSHAJI KUHUSU WANANCHI WANAOHAMA KWA HIARI NGORONGORO.

Ngorongoro MAMLAKA ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezitaka baadhi ya taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka ndani na nje ya nchi...

TAASISI ZA UMMA ZITUMIE MIFUMO YA KIDIJITALI – WAZIRI MKUU

*Azindua mifumo minne ya kidijiti Serikalini Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta...

DK.NCHIMIBI AFANYA MAZUNGUMZO NA KOMREDI TANG DENGJIE

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Komredi Tang Dengjie, Mjumbe wa Kamati Kuu ya...

BARUTI NI HATARI USIHIFADHI KWENYE JOTO, MOTO UMEME AU MOTO WA GASI

Dodoma BARUTI haitakiwi kuhifadhiwa kwenye makazi ya watu kwasababu inaweza kuripuka kwa moto, joto, tayari moto wa gasi au umeme. Hayo yamesemwa na Mhandisi Mgodi...

MAJALIWA: MIPANGO NA MAAMUZI YA MAENDELEO IZINGATIE MATOKEO YA SENSA

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watendaji wote wanaohusika na sera na mipango katika Serikali Kuu, Tawala za Mikoa na Serikali za...