DK. BITEKO MGENI RASMI MKUTANO WA KAMPENI ZA S/MITAA CHATO
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, ...
ZAIDI YA BILIONI 10 SKIMU YA UMWAGILIAJI MASIMBA KUNUFAISHA WAKULIMA 24,000 MKOANI SINGIDA
Singida.
WAZIRI wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini...
TANZANIA NA UGANDA KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO
📌 Ni katika kuendeleza Sekta za Mafuta na Gesi
📌 Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wafikia asilimia 47
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dk....
MITAALA IZINGATIE MABADILIKO YA KIUCHUMI NA TEKNOLOJI-MAJALIWA
Dodoma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kuwa mitaala inayoandaliwa ihakikishe inazingatia mabadiliko ya kiuchumi na maendeleo ya kiteknolojia.
Amesema hayo leo Ijumaa, Novemba 22, 2024...
MNEC ASSAS AELEZA MKAKATI WA CCM KATIKA VITUO 87,000 VYA KUPIGA KURA
Ruvuma.
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (MNEC), Salim Abri Assas, ameweka wazi mikakati ya chama hicho kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024, akibainisha kuwa...
MILIONI 455 KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 22,000 TABORA
Tabora
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kiasi cha shilingi milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi ipatayo 22,785 mkoani Tabora ukiwa na...
WAZIRI MKUU KUFUNGUA KONGAMANO LA MAENDELEO YA BIASHARA YA UCHUMI
Dodoma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 22, 2024 anamwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la tano ya Maendeleo ya...
AJIRA ZIPO, JIENDELEZENI KITAALUMA: KASEKENYA
Morogoro
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, amewataka wahitimu wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) kujiendeleza kitaaluma ili wawe na sifa stahiki...
NAIBU SPIKA MGENI ASISITIZA UJENZI WA UJENZI WA VIWANDA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI NCHINI
Aishukuru GST kwa kufanya utafiti wa madini na kuandaa Ramani ya Jiolojia Zanzibar
Awakaribisha Wawekezaji Kuwekeza Katika Sekta ya Madini Zanzibar
Waziri Mavunde asema Wizara itaandaa...
WAZIRI MKUU MGENI RASMI MKUTANO WA PAMOJA WA MAWAZIRI NA VIONGOZI WA WHO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 21, 2024 ni mgeni rasmi katika mkutano wa pamoja wa Mawaziri na Viongozi wa juu wa Shirika la...