MAHIMBALI ASISITIZA GST KUWAFIKIA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI NCHINI

Dodoma KATIBU Mkuu Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali ameiagiza Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kupanua wigo wa huduma zake ili...

MADINI, TAMISEMI PITIENI SHERIA NDOGO KUONDOA USUMBUFU KWA WACHIMBAJI WADOGO-MAJALIWA

Asema Milango Imefunguliwa kwa Kila Mmoja Kushiriki uchumi wa Madini Waziri Mavunde Asisitiza Ununuzi wa Helcopter kwa ajili ya Utafiti wa Kina Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri...

KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AKUTANA NA UJUMBE WA UMOJA WA ULAYA (EU)

📌 Wajadili Mradi wa Maboresho Sekta ya Nishati (Energy Sector Reform Programme) 📌 Serikali yaeleza ilivyotimiza masharti ya EU ili kupata fedha za Maboresho ya...

WAZIRI MKUU AZINDUA VITABU VYA HISTORIA YA BUNGE

Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua vitabu vya historia ya Bunge ambavyo vitasaidia kuhamasisha tafiti na kujua zaidi kuhusu mchango wa Bunge katika maendeleo...

RAIS DK.SAMIA ATOA MHADHARA WENYE MADA YA FALSAFA YA R NNE(4RS)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akipokelewa kwa heshima na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa...

KAMATI YA BUNGE YA PAC YAPIGWA MSASA

📌 Ni kuhusu miradi inayotekelezwa na wizara kupitia TPDC 📌 DKt Biteko afungua rasmi, aishukuru PAC kwa mchango wao sekta ya Nishati 📌 Waitaka TPDC kuwekeza...

SERIKALI KUTOWAVUMILIA WAKANDARASI WA UMEME WAZEMBE

📌 Kapinga aeleza kuchukuliwa hatua za kisheria 📌 Kata za Mawengi, Lubonde, Lugarawa, Lupanga, Mlangali, Madilu, Milo na Mawengi kuunganishwa na gridi ya Taifa 📌...

SERIKALI ZOTE MBILI BARA NA VISIWANI ZINA VIONGOZI WENGI WANAWAKE: WAZIRI RIZIKI

Esther Mnyika, Dar es Salaam WAZIRI wa maendeleo ya Jamii kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Riziki Pembe Juma amesema Serikali zote mbili bara na...

KAMANDA MUTAFUNGWA AWATOA HOFU WANAOFUNGUA MADUKA YAO MWANZA.

Mwanza JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza laendelea kuwahakikishia hali ya usalama wafanyabiashara waliofungua maduka yao nakuendelea na kazi kwa kuongeza doria mtaani. Mapema hii...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Juni 26, 2024.