WAZIRI MKUU: SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 787 ZA MIKOPO YA WANAFUNZI

Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2024/2025, Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 787 kwa ajili ya kukopesha wanafunzi 250,000 wakiwemo 80,000...

WEZESHENI WATU VYA KUTOSHA WATUMIE GESI KWENYE MAGARI; YASEMA KAMATI YA BUNGE

๐Ÿ“Œ Yaitaka TPDC kuongeza vituo vya kujaza gesi ๐Ÿ“Œ Yaitaka pia kuongeza karakana za kuweka mifumo ya CNG ๐Ÿ“Œ Wizara ya Nishati yaahidi kuendelea kuiwezesha TPDC...

MKANDARASI ATAKIWA KUHARAKISHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JUA KISHAPU

๐Ÿ“ŒAmtaka Meneja kuhakikisha anawasimamia vema mkandarasi ๐Ÿ“ŒMradi kuleta tija kwenye upatikanaji wa Umeme Kishapu, Shinyanga KAMISHNA wa Umeme na Nishati Jadidifu Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga...

BOT YATAFITI UANZISHWAJI WA SARAFU ZA KIDIJITALI

Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.ย SERIKALI imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa sasa inaendelea na hatua ya utafiti wa uanzishwaji wa matumizi ya...

WAJASIRILIAMALI WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA ELIMU YA UJASIRIAMALI

NA JOSEPHINE MAJULA, TABORA WAJASIRIAMALI wa Kata ya Tutuo, Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora, wameiomba Serikali kuwapatia elimu ya ujasiriamali ili waweze kuzalisha...

SERIKALI INAKIONGEZEA UWEZO KITUO CHA KUPOZA UMEME MBAGALA- KAPINGA

๐Ÿ“Œ Lengo ni kuondoa changamoto ya kukatika umeme Mbagala ๐Ÿ“Œ Asema mradi wa kupeleka umeme eneo la Kitume - Bagamoyo wafikia asilimia 57 Dodoma NAIBU Waziri...

WEKENI BEI NAFUU YA GESI KWA WANANCHI -DK.MWINYI

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi ameyaomba makampuni ya gesi kutafuta namna ya kuwezesha kupatikana gesi...

RAIS SAMIA KUONGOZA VIKAO VYA KAMATI KUU NA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza Vikao Vya Uongozi wa...

MAHIMBALI ASISITIZA GST KUWAFIKIA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI NCHINI

Dodoma KATIBU Mkuu Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali ameiagiza Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kupanua wigo wa huduma zake ili...

MADINI, TAMISEMI PITIENI SHERIA NDOGO KUONDOA USUMBUFU KWA WACHIMBAJI WADOGO-MAJALIWA

Asema Milango Imefunguliwa kwa Kila Mmoja Kushiriki uchumi wa Madini Waziri Mavunde Asisitiza Ununuzi wa Helcopter kwa ajili ya Utafiti wa Kina Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri...